Dah! hichi kichwa ch habari nilikisoma vibaya "how will yu erect" nitarudi.
Umepata mke/mme na kipindi chote cha mahusiano hamkuwahi kujuana kimwili.Baada ya kufunga ndoa,siku ya kwanza kupeana tunda,mke/mme anakuonyesha viwango vya hatari yaani full ma freestyle na sarakasi za kila aina kitandani.Huu uwezo kaupata wapi na kaupataje?
Hapo umenena mkuu,inabidi uwashukuru waliokutangulia kwa kumpa mkeo xperience ya kutosha kwani bila wao ungeanza na moja.Kwani ulimkuta bikira? Jibu ni HAPANA...Ina maana hao waliowahi kabla ya mume walimuonyesha/walimfundisha maujuzi yote hayo. Sasa mume hana sababu yoyote ya kujiumiza kichwa na kuanza kukosa raha kwa hili inabidi mume afurahie tu maujuzi ya mkewe.