kwenye menu kuna application imeandikwa 'Cydia'? nisomee software version inayotumika, fungua settings-general-about-version...
kama Cydia ipo, connect Iphone yako kwenye wireless network 'wifi' kama upo karibu na network au unaweza kutengeneza wireless network through ur laptop then connect na simu.
fungua cydia then chagua 'manage' ipo upande wa kulia chini pembeni ya search, alafu select 'Sources', then 'edit' kulia kwa juu, then 'add' kushoto juu, itafunguka pad ya kuandika URL, andika 'ultrasn0w.com' then select 'add source'..ikimaliza kuAdd sources rudi kwenye 'manage' --> 'sources' then utaiona repo666.ultrasn0w.com imeongezeka. select hiyo repo666.ultrasn0w.combaada ya hapo utakuta ultrasn0w then select instal hapo juu kulia..itaDownload packages za ultrasn0w (kama 4mb hivi) na ku Instal..baada ya hapo weka line yeyote kwenye Iphone then LG life'z good!!
Note: kwenye repo666.ultrasn0w.com,, hiyo '0' ni zero digit (0)...................cheerz'..
Omary wewe kweli huna Idea na kinachoendelea, ngoja nikupe somo'.. 🙂 🙂Mkuu hiyo sio rahisi kama unavyofikiria coz simu nyingine za iphone lock yake inakuwa ukifungua cm kinachoonekana ni alama ya chaja haifunguki zaidi ya hapo,so kama simu ikiwa na laini kutoka nje ndio itafunguka na utaona application kama hiyo ya cydia nk,na utakuta nyingine zinafunguka na kunasa kwenye logo ya apple,so kama unataka kufungua iphone ya aina yoyote just google pgm inayoitwa jailbreak yaani hiyo inakuwa na kila kitu cha kufungulia cm hadi cydia lakini tattizo lake inauzwa dola 19,ukifanikiwa kuinunua hiyo pgm inafungua cm zote za iphone hadi ipod zinafungua,sasa the choice is yours Sapna wanafungua kwa sh 70,000 na Kariakoo wanafungua kwa sh 50,000.
Omary wewe kweli huna Idea na kinachoendelea, ngoja nikupe somo'.. 🙂 🙂
nimeJailbreak na kuUnlock Iphone 4, 3GS na Ipod Touch kirahisi sana, haihitaji uwe mtu wa kulipalipa ovyo wakati vitu vingine vipo wazi kupitia tutorials kwenye forums mbalimbali,, asilimia kubwa ya solution za matatizo ya software zipo kwenye internet, ni wewe tu kuwa bookworm kuzisoma. mambo ya hardware ndo yanaweza kukupeleka kwa fundi kutokana na mahitaji ya replacement parts'..
Iphone isipokuwa na Cydia inamaana bado haijawa Jailbroken, na hivyo kabla ya kuUnlock lazima iwe Jailbroken kupitia baseband version ya simu, ndio maana nimemuuliza kwanza mkuu hapo juu kama kuna application ya Cydia kwenye menu yake lakini hakujibu. kama Cydia haipo kwenye simu yake, angepost ios version anayotumia ili nimuelekeze namna ya kufanya Jailbreaking. kama Cydia ipo inakuwa rahisi kuUnlock ndani ya dakika tano kupitia maelezo nilioandika hapo juu..
ni afadhali kutafuta solution online kabla ya kupeleka pesa Sapna/Kariakoo.............
'Wana jamii!
Nimepata I-PHONE 4, 16GB kutoka Marekani lakini imekuja na lock, kwa yeyote anayeweza kunisaidia jinsi ya kutoa lock.. Anisaidie
Heshima!