Mr Kicheko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 789
- 216
hiyo software inahitaji net toka hotspot au modem nyingine isiyo ya huawei.yangu hai detect
yah natumia internet ya wifi, yangu ukichomeka computer inatoa tone kuwa kitu kimechomekwa ila haiblink wala huoni com porthiyo software inahitaji net toka hotspot au modem nyingine isiyo ya huawei.
kama haikubali basi modem yako itakuwa dead completelly.
yangu ukichomeka inamweka mweka kama kawaida,haisomi port wala haikubali kuingia project mode.
nikitumia hiyo hisilicon inadetect port pia dashiboard ya huawei nafunguka na modem inasoma network bars ila huwezi kuconnect
Yangu inablink kama ikichomekwa,yah natumia internet ya wifi, yangu ukichomeka computer inatoa tone kuwa kitu kimechomekwa ila haiblink wala huoni com port
dccrap ni kwa ajili ya modem za zamani, hii dc mpya inaconect na internet sidhani kama inachakachulika, inataka credit ngapi? nakumbuka credit moja ilikuwa ni euro moja ni kama shilingi 2500 za TanzaniaYangu inablink kama ikichomekwa,
Sijajua jinsi ya kupata credit au cracked version kama ile Dc crap ili nicheck kama nitaweza irudisha kwenye uhai
Ni credit 4 for one operationdccrap ni kwa ajili ya modem za zamani, hii dc mpya inaconect na internet sidhani kama inachakachulika, inataka credit ngapi? nakumbuka credit moja ilikuwa ni euro moja ni kama shilingi 2500 za Tanzania
msimbazi huo, kama una uhakika itafaa sio mbaya, sababu nafkiri ukisha flash itakuwa unlocked kabisaNi credit 4 for one operation
Tatizo sina ac ya paypal wala credit card je mnaweza kunilipia?msimbazi huo, kama una uhakika itafaa sio mbaya, sababu nafkiri ukisha flash itakuwa unlocked kabisa
tengeneza ya BancABC rahisi tuTatizo sina ac ya paypal wala credit card je mnaweza kunilipia?
Shughuli ni kuirudisha kwenye uhai mkuu.Issue ni Kwamba hapo sisi tune flash Firmware ya Stick wakati modem ni Hi link.
Kuna mtu alikua nayo nae akai Brick anasema akiweka kwenye zile Router inasoma.
Poa nitajaribu hiyo.tengeneza ya BancABC rahisi tu
Umefanikisha?Wakuu nimebrick modem yangu e303h-1 (ipo half dead) baada ya kuweka firmware isiyo yake, sasa haidetect com port ila nikitumia Hisilicon firmware writer com port zinaoneka fresh tatizo nashindwa kuwrite kwa kukosa credit.
Kama kuna namna ya kubypass au software mbadala naomba msaada wenu.
CC: Mwl.RCT Njunwa Wamavoko Chief-Mkwawa gkiwango CalvinPower
Mwaga maujuzi hapa kwa faida ya wote.πππhiyo kitu kidogo sana kinacho kusumbueni nyinyi anae taka anitafute
Mkuu vipi modem za vodacom huawei zte r206unataka mseme had leo hamjafanikiwa!! kama bado naweza wapa cha kufanya!!!
Funguka kaka ili tuzifute vumbi modem zetu maana tumeshajikatia tamaa.unataka mseme had leo hamjafanikiwa!! kama bado naweza wapa cha kufanya!!!