How to unbrick android phone

How to unbrick android phone

Hiyo inakuwa na shida tu kama unaona nZima jaribu kwa sp tool
 
wakuu habari yenu! Mimi nna tecno H6 operating system ilimisbehave ikastuck nkaizima simu nilipoiwasha ikawa inaishia kwenye logo ya tecno alafu inajizima na kujiwasha inaendelea hivyo. Nilijaribu kuireset kupitia recovery mode ikagoma kibaya sikuenable usb debugging, so ilibakia option ya kuflash tu na nilitumia sp flash tool. Ilipomaliza process mpaka mwisho yaan ndo tatizo kama limeongezeka vile coz now haiwaki kabisa wala haichaji. Na nkiiconnect kwenye pc kwa usb cable inachukua muda kudetect then it keeps on connecting and disconnecting. WENYE UTAALAMU NAOMBENI MSAADA NIFIX SIMU YANGU. THANKS IN ADVANCE.



Hiyo utakuwa ulikosea ukatumia option ya kuformat rom. Best option wapelekee tecno watairekebisha, tena kama bado ipo under warranty, wewe waambie imejizima yenyewe watakufanyia bure. Usiseme kwamba uli temper nayo.
 
Thanx to all who contributed in this thread, my phone is ok

Lakini ungesema umetumia ampicillin,gentamicin,au cloxacillin ili usaidie na wengine maama wanaweza wakawa wanaumwa kama wewe wapo kimya tu.
 
Back
Top Bottom