dany_Biggie
Member
- Aug 21, 2013
- 55
- 124
Nimefanya uchunguzi wangu na kugundu ni kwann watu wengi wanakua na cellphone addition... Nikagundua basi kwa wale wanao kua addicted nin chanzo cha addiction.... Mara nyingi ni kwa wale teenager's 15-18 ata kwa watu wazima kwanizia 19-40.. Kwa uchunguzi wangu nikagundua teenager's wao usumbuliwa na matatizo ya kifurushi so unakuta yuko busy na simu coz anajua bandle lake linaisha muda si mrefu na kupitia free websites kama fb basi ndyo unakua addicted ata ukimwita askii.. Na kwa watu wazima 19-40 ukichunguza addiction yao wengi utumia smartphone vibaya kudate siku nzima na kudownload porn's.... Sorry kama kuna mtu nimemgusa