How to shower with cold water

Bora tu ujitose mwili mzima shida yote ya nini hiyo?
 
kwanza hayo ya matone sio yabaridi kiviiile kama yale ya kujimwagia na kikopo, balaa ...
 
Umenikumbusha mitaa ya marangu mtoni miezi flani ya baridi
 
nakumbuka shule, unaimba nyimbo zote uzijuazo hadi umalize kuoga ushatunga album
 
kwanza unayatisha maji ukiona yametulia unajitosa tu hivyo hivyo utajikuta unakoga bila wasiwasi wowote.
Nalog off
 
Mwezi wa sita hiyo mbeya hapo....mi hapa kwangu hilo bomba lina kutu. maji yakachemshwe kwanza.
 
Kwetu hakuna shawa kama hizo tushazoea kuoga mtoni....so haina tabu mlete mdasilamu arusha mwezi wa sita haogi
 
Magamba Lushoto, miezi ya tano sita na saba Ni balaa!
 
Maji ya baridi nayaogopa yaani nikioga lazima nipige yowe lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…