SR senior JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 358 Reaction score 68 Apr 9, 2016 #1 Assistance please
Justine_Dannie JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 1,962 Reaction score 1,622 Apr 9, 2016 #2 Kwa kutumia kiganja chako, Fanya km unapangusa kutoka upande wowote kwenda mwingine.
2 20acres Senior Member Joined Jul 26, 2015 Posts 166 Reaction score 137 Apr 9, 2016 #3 press home + power buttons simulteneously!
BansenBurner JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,809 Reaction score 5,784 Apr 9, 2016 #4 Pangusa screen..pia hold power button and hom button kwa pamoja
Mwiyuzi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 854 Reaction score 452 Apr 10, 2016 #5 20acres said: press home + power buttons simulteneously! Click to expand... Asante sana! Mwaka mzima nina S4 lakini sikuwahi kuweza ku-screenshot. Nilihangaika mpaka nikaacha nikidhani haiwezekani. JF idumuuu!
20acres said: press home + power buttons simulteneously! Click to expand... Asante sana! Mwaka mzima nina S4 lakini sikuwahi kuweza ku-screenshot. Nilihangaika mpaka nikaacha nikidhani haiwezekani. JF idumuuu!
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Apr 10, 2016 #6 JF ninomaaaaa
Mwiyuzi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 854 Reaction score 452 May 6, 2016 #7 Mwiyuzi said: Asante sana! Mwaka mzima nina S4 lakini sikuwahi kuweza ku-screenshot. Nilihangaika mpaka nikaacha nikidhani haiwezekani. JF idumuuu! Click to expand... Kumbe tuko wengi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwiyuzi said: Asante sana! Mwaka mzima nina S4 lakini sikuwahi kuweza ku-screenshot. Nilihangaika mpaka nikaacha nikidhani haiwezekani. JF idumuuu! Click to expand... Kumbe tuko wengi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,932 Reaction score 53,955 May 6, 2016 #8 Na Tecno inakuaje
mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,287 Reaction score 1,855 May 6, 2016 #9 Mtoto halali na hela said: Na Tecno inakuaje Click to expand... Power button+volume button uwe kama unapunguza volume lakini bonyeza kwa wakati mmoja
Mtoto halali na hela said: Na Tecno inakuaje Click to expand... Power button+volume button uwe kama unapunguza volume lakini bonyeza kwa wakati mmoja