Habari zenu wadau, naomba msaada wa kuelekezwa jinsi gani ya ku-save files mbalimbali ( mfano pdf files) kwenye email yangu ya yahoo.
Naweza kutengeneza folder, tatizo linakuja jinsi gani nitaweza ku-upload file kutoka kwenye kompyuta kwenda kwenye hilo folder nililotengeneza kwenye email.
Natanguliza shukran!
Attach kwenye compose, as if unataka kulituma...then likishakaa(after uploading), sasa wewe usitume, check pale juu pameandikwa save in draft....au waweza save kwenye folder lako ulilocreate!! kushney!!
Siyo kazi ya Yahoo Mail kusave mafaili, unaweza ukafoji kama alivyoeleza Sizinga hapo juu au unaweza ukajitumia mwenyewe. Kama unataka sehemu ya kuhifashi files online check DropBox au Microsoft SkyDrive.