How to remove password on word doc

mafuru

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2014
Posts
379
Reaction score
38
Jamani, Naombeni msaada namna ya kufungua document ya word yenye password.
 
jamani naombeni msaada namna y akufungua document ya word yenye password
 
Password niliweka mie ila nimeisahau nisaidie bhana mbona mtata hivyo
 
Kwa yoyote anaejua namna ya kucrack document ya word Tafadhali naombeni unisaidie kuna document ya word niliiwekea password na nimeisahau na ninahitaji niitumie document mwenye kuweza kunisaidia anisaidie jamani
 
kwa documents za Office, kutoa password mimi nilishindwa... yaani majanga
 
Ukiweka password kwenye document za ms office na ukasahau hiyo inakula kwako, ndiyo maana ktk kuweka inakuonya kwanza kwamba ukisahau hautoweza tena kuifungua. Kwa kesi hiyo anza kujisahaulisha kabisa kama ulikuwa na document ama sivyo ikumbuke password hakuna ujanja mpaka sasa. Pole.
 
Kwa yoyote anaejua namna ya kucrack document ya word Tafadhali naombeni unisaidie kuna document ya word niliiwekea password na nimeisahau na ninahitaji niitumie document mwenye kuweza kunisaidia anisaidie jamani

Mkuu hiyo andika maumivu, mpaka sasa hakujapatikana namna ya ku-crack password za office document.
 
Jamani, Naombeni msaada namna ya kufungua document ya word yenye password.

Download software inaitwa Excel_cracker, ina uwezo wa ku-crack password kwa kiasi kikubwa sana kwenye MS Office
 
Zipo tena nyingi tu.....

Make google ur friend
 
Kwa hiyo hakuna kabisa namna ya kutoa password hiyo waungwana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…