habari wakuu heshima nyingi...!! nina hard disk yangu....ilikuwa kwenye laptop dell latitude D630.. ikawa haiwaki...katika kuichek nikajua ram ndo tatizo nikabadilisha......ila after changing it inawaka but inaishia kwenye bios....this HDD is protected by password authentication sytem. you can not access data on it ...without it...
nikasema ngoja nitoe niweke kwny machine nyingine ...haionekani..!! nawakilisha..!!
nikasema ngoja nitoe niweke kwny machine nyingine ...haionekani..!! nawakilisha..!!