Hii imetulia sana. Naamini hatajali kama kuna carpet au la. Na kama kuna meza au kiti. May be hicho chumba anachoongelea hakina hata kuta....LOL!!
Hakuna kuharibika kitu hapa. Infii home zinaishi kwa realities na siyo hypothetical life. Kwa hiyo watu wanaosubiri ushauri wako ni wale wanaoishi kwa nadharia ya hizo rules zako.
Hebu fikiria amani na bashasha unazokuwa nazo ukirudi home unajua kuwa kuna kibarua cha kumalizia baada ya kupata organic flavours huko kwenye uwanja wa ugenini? Ni kitu muhimu sana hicho kuliko kujaribu kujifungia kwenye uzio wenye matundu kila upande!
heheh what a computer u have.....:A S tongue::A S tongue:
Actually.....the one i have is working very fine for me!!!
Actually.....the one i have is working very fine for me!!!
I will try to hack it using INFI and see if it really works by the way kwenye chama chetu kuna viti maalumu unakaribishwa
Hivi hujagundua smiles ni 'sambi sako mwenyewe'?
hahahahaaa! kwa hiyo mkiwa karibu na kitanda tu unaangusha.......then ukiona kimya nimekubali?Hivi hujagundua smiles ni 'sambi sako mwenyewe'?
You think it is working very fine with you because you haven't tried one ours and especially that of Finest!Actually.....the one i have is working very fine for me!!!
infidelity is here to stayAhha wapi, Smiles amehit kunako, unaonekana very soon utadeclare NO to INFIDELITY
.
Smiles:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:
Najua huyu hana tofauti kama yule KIYABO wa CCJ>>>CCM:becky::becky::becky:
hahahahaaa! kwa hiyo mkiwa karibu na kitanda tu unaangusha.......then ukiona kimya nimekubali?
Yaani hata mjaribu kuni-convince vipi.......bado sidanganyiki!!!
Hata mweka hazina mwenyewe kashindwa.....:becky::becky:
hahahaaaa!!Umeambiwa mara ngapi kwamba viongozi wakuu wa infidelity sio waongo????
You have been warned....