How to prevent "Infidelity"

Kambi ya upinzani haina hata viongozi bana....eti mi ndo katibu wa anti-infidelity......:becky:....
..
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::thumb::thumb::thumb:😛eace:😛eace:😛eace:
 
Smile,

Hiyo mikakati yako iko kwenye nadharia sana. Too theoretical and hypothetical to be realistic.

Infii ni muhimu sana katika kuimarisha main home. Believe me, this package can't help. I bet you $10K

Well...I bet for the peace in ur home....
No prices! ili siku mambo yakiharibika nyumbani usisite kuja kuniomba ushauri.....:becky::becky:
 
Kambi ya upinzani haina hata viongozi bana....eti mi ndo katibu wa anti-infidelity......:becky:....
Hapa naweka kumbukumbu zote kapuni.....

Hamna kitu hapo.....
Hapa namsubiri Beauty atoke huko alikojificha ili tutoe msimamo wetu thabiti.....

Beautyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy..........
Sijui kapitiliza kajua bado weekend :confused2::confused2::confused2::confused2:
 
Well...I bet for the peace in ur home....
No prices! ili siku mambo yakiharibika nyumbani usisite kuja kuniomba ushauri.....:becky::becky:
Aje akuombe ushauri?

Nani alikuambia kuna mwanachama hai wa ISC anaharibikiwa nyumbani? FYI chama kinamlinda!
 
😛layball:😛layball:😛layball:
 
Muulize bacha....mara ya mwisho alituambia yuko kwenye kambi yake...:becky::becky::becky:
tehe tehee!!
zisi sredi is vere nanihii.

Umeona rule number mbili?........msikae karibu na kitanda....mmh!!
 
Hivi Spika nani ana mamlaka ya kumng'oa?

Kambi ya upinzani haina hata viongozi bana....eti mi ndo katibu wa anti-infidelity......:becky:....
Hapa naweka kumbukumbu zote kapuni.....

Hang'oleki.....labda apate ajali iharibu central system yake...:becky:

anang'oka tu msisahau mikutano iliyopita jamani....actuale meza kuu kwa maana ya NEC ina full mandate ya ku do ze nidiful... lol
 
Well...I bet for the peace in ur home....
No prices! ili siku mambo yakiharibika nyumbani usisite kuja kuniomba ushauri.....:becky::becky:
Natumai hatutakutana sehemu yenye kitanda.......
 
anang'oka tu msisahau mikutano iliyopita jamani....actuale meza kuu kwa maana ya NEC ina full mandate ya ku do ze nidiful... lol
Neno lako ni amri. NEC ya ISC itamng'oa huyu spika kwa kuruhusu mijadala mibovu kama hii:confused2:
 
anang'oka tu msisahau mikutano iliyopita jamani....actuale meza kuu kwa maana ya NEC ina full mandate ya ku do ze nidiful... lol

Asante cheaman kwa mwongozo....
 
Well...I bet for the peace in ur home....
No prices! ili siku mambo yakiharibika nyumbani usisite kuja kuniomba ushauri.....:becky::becky:

Akija kukuomba ushauri itabidi muingie kwenye chumba ili mradi hakina kitanda.......:becky::A S 8:
 
Hakuna kuharibika kitu hapa. Infii home zinaishi kwa realities na siyo hypothetical life. Kwa hiyo watu wanaosubiri ushauri wako ni wale wanaoishi kwa nadharia ya hizo rules zako.

Hebu fikiria amani na bashasha unazokuwa nazo ukirudi home unajua kuwa kuna kibarua cha kumalizia baada ya kupata organic flavours huko kwenye uwanja wa ugenini? Ni kitu muhimu sana hicho kuliko kujaribu kujifungia kwenye uzio wenye matundu kila upande!
 
The following message is infected by virus ndivyo kompyuta yangu inavyosema smile sijui kwa wapwa zangu wengi
 
Akija kukuomba ushauri itabidi muingie kwenye chumba ili mradi hakina kitanda.......:becky::A S 8:

Katibu...hili linapaswa kunukuliwa, au siyo mwenyekiti?
 
Akija kukuomba ushauri itabidi muingie kwenye chumba ili mradi hakina kitanda.......:becky::A S 8:

Hii imetulia sana. Naamini hatajali kama kuna carpet au la. Na kama kuna meza au kiti. May be hicho chumba anachoongelea hakina hata kuta....LOL!!
 
Weraaaaaaa weraaaaaaa mtajipanga sawa sawa eti memory zimepotea fungueni macho mtasoma tu.

Heko heko heko nyingi kwako Smiles.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…