How to play file with .AVI Extension?

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
20,056
Reaction score
45,841
Wakuu habari zenu?
kuna tatizo ambalo huwa nalipata ninapo play movies ambazo nimedownload kwenye internet
kuna message huwa inakuja inasema!

The file you are attempting to play has ana extension .avi that does not match the format, playing the file may result in unexpected behaviour

Do you want the player to play this contents?

Kuna program yoyote ambayo inaweza ku play hizo file zenye .avi extension?
 

Nafikiri wewe ni novice kama mimi - huwa mie nazi-convert toka .AVI kwenda mfumo mwingine unaowiana na player yangu. Ushauri mwingine unaweza kuwa wa kitaalamu zaidi. kufanya conversion tumia formatfactory au Total Converter nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…