Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,734
- 3,652
Nasubir kwa hamu majibu ya wadau mi mwanangu Julai ndo anatimiza mwakaWaungwana habari zenu!!!
Naomba msaada wa kujuzwa jinsi ya kuifanya birthday ya kwanza kabisa ya mwanangu kuwa so special
Si mnajua tena it is once in a life time...ni furaha kama mzazi kuona mwanao anafikisha mwaka mmoja huku akiwa mwenye afya na furaha tele!!!
Nafahamu yeye hailewi na hatakumbuka chochote but I want to make it special and memorable.
Nataka iwe simple tu special kwaajili ya watoto wa majirani ndugu jamaa na marafiki.
Mnisaidie nini nifanye iwe special...kwenye upande wa michezo ya watoto..nataka wafurahi siku hiyo, vyakula vya vya watoto and fun things.
Mnisaidie wanajukwaa humu kuna kila la kujifunza, huwezi toka bure.
Asanteni sana!!!!
umeambiwa first birthday usilifanyie direct translation hili neno mkuuAna miaka mingapi?
I know that, she wont remember, na nimesema I want simple but specialHe/she is turning one. . No matter how big it is it won't be memorable to your child, you will just be show offing
Make it simple mkuu, family tu inatosha and some pictures for memory baaasi
Kazi kwelikweliAna miaka mingapi?
Ulitaka kuelewa au ulitaka ajibu Englishlady??Mkuu mbona kama swali limemlenga Englishlady
Hii ni sahihi mno, na Mungu atambariki birthday babyTafuteni kituo cha watoto yatima.... wale wenye shida kweli namisaada ya manati
Wapelekeeni vyakula...(vibichi)
Plus catering na vinywaji mkakate keki huko na kumuimbia
Hii ndo imekaa poa snTafuteni kituo cha watoto yatima.... wale wenye shida kweli namisaada ya manati
Wapelekeeni vyakula...(vibichi)
Plus catering na vinywaji mkakate keki huko na kumuimbia
Tafuteni kituo cha watoto yatima.... wale wenye shida kweli namisaada ya manati
Wapelekeeni vyakula...(vibichi)
Plus catering na vinywaji mkakate keki huko na kumuimbia
mie naona bora apele msaada wa chakula na catering tu.
ishu ya kumfanyia birthday mwanae huko inaweza kuwakumbusha mayatima juu ya wazazi wao, wana imagine kama wazazi wao wangekua hai na wao wangekua wanafanyiwa birthday etc. mwisho watabaki na majonzi badala ya furaha.
ni bora atoe msaada lakini birthday aifanye kwake.
Catering kwa maana ya kula nao chakula........ na vibywaji...na kushare cakemie naona bora apeleke msaada wa chakula na catering tu.
ishu ya kumfanyia birthday mwanae huko inaweza kuwakumbusha mayatima juu ya wazazi wao, wana imagine kama wazazi wao wangekua hai na wao wangekua wanafanyiwa birthday etc. mwisho watabaki na majonzi badala ya furaha.
ni bora atoe msaada lakini birthday aifanye kwake.
sorry mkuuMkuu mbona kama swali limemlenga Englishlady
sorry mkuu
Every kid's birthday is special dear. . To us parents sometimes we are too busy parenting we don't notice how they grow, but birthdays kinda hit us. . But we there everyday witnessing this amaizing little miracle evolveI know that, she wont remember, na nimesema I want simple but special
sio kukata keki tu na kuka basi, I want more
She is a baby girl!!Every kid's birthday is special dear. . To us parents sometimes we are too busy parenting we don't notice how they grow, but birthdays kinda hit us. . But we there everyday witnessing this amaizing little miracle evolve
You can go with themes pia to add up. . It depends on whether its a girl or boy
Asante sana shosti kwa ushauri mzuri!!Tafuteni kituo cha watoto yatima.... wale wenye shida kweli namisaada ya manati
Wapelekeeni vyakula...(vibichi)
Plus catering na vinywaji mkakate keki huko na kumuimbia