Haya sasa mliokuwa mnabisha mko wapi, changamkieni watermeloni huko mtaani, ila sasa dada poa ndo washakamatwa so msijeshindwa kwa kukimbilia kama home wameblowWakuu nimerudi,hii kitu ipo mukide,leo nimemkomesha huyu manzi,nimepiga mbili mfululizo bila mapumziko(nimebadirishia gia angani ikakubali) kitu ambacho nilikuwa nafanya kipindi nabalehe,mleta uzi tunashukuru kututoa kimasomaso wagegedaji,heshima imerudi mjengoni.
Mbona kanipikia na pilau bila kupenda.
kuna tatizo lolote ukichanganya na ndimu, ubora wa lemon na ndimu unatofautiana lakin siyo sana
Matikiti yataadimika sokoni sio kwa kugombaniwa huko
Ha ha ha ha ha mbali na kupanda bei yataadimikaTayari yameanza kupanda bei !!