mkuu shupaza asante sana njia yake ni ndefu lakini nzuri nitajaribu, nikiwa na cd kila mara huwa zinaharibika au zina crack cd bora utumie njia ya usb flash memory kuliko cd utakuwa nazo ngapi hizo cd? Nasema tena asante kwa ushauri wako.
Kuna mtu mwengine ajuaye njia Rahisi ya Ku install Windows Xp by Using USB Memory flash? zaidi ya hii aliyotowa Mkuu shupaza? Tafahali naomba msaada wenu Wakuu asanteni sana.
kinacho kuogopesha kitu gani mkuu Jayfour_King ni kitu gani unacho ogopa wewe ? Tupo hapa kwenye hii Forum JF kuelimishana sio kuogopana hakuna aliyekuwa anajuwa vitu vyote kuliko wengine kila mtu anajuwa kutokana na elimu yake alivyosomea wewe kwa hiyo hakuna kitu cha kuogopa ukiweza nifahamishe ukishindwa Didindisha atatoka mtu mwengine anayejuwa zaidi yako atatuelimisha asante kwa kunijibu Mkuu Jayfour_King