S said duse Member Joined Jul 21, 2016 Posts 98 Reaction score 10 Nov 29, 2016 #1 Habari zenu wanaJF. Samahanini jamani nilikuwa naomba kueleweshwa jinsi gani naweza ku-install mchezo wa FIFA 14 kwenye PC yangu yenye window 8.1 pro kwan nimejaribu kila njia lakn cjafanikiwa. Msaada kwa mwenye kufahamu.
Habari zenu wanaJF. Samahanini jamani nilikuwa naomba kueleweshwa jinsi gani naweza ku-install mchezo wa FIFA 14 kwenye PC yangu yenye window 8.1 pro kwan nimejaribu kila njia lakn cjafanikiwa. Msaada kwa mwenye kufahamu.
S said duse Member Joined Jul 21, 2016 Posts 98 Reaction score 10 Nov 29, 2016 Thread starter #2 Watu wameususia huu uzi
nkowosi JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 568 Reaction score 642 Dec 8, 2016 #3 Umedowload au njoo chukuwa kwangu ukiweka huna haja yakuinstall linacheza lenyewe