Wadau ivi inawezekana kuistall offline application za blackberry kwenye simu ya android? Kama kuna mwenye wazo anaweza nisaidia. Kumbuka nataka BlackBerry application nizitumie kwenye simu yangu ya android
Na kwa wale wa mambo ya whatsap sasa kuna whatsapp+3 imetoka , unaweza kuipata kwenye link apo chini
unatufunga kamba live kijana!!
Sema wapi wanauza kwa hizo bei ulizoorodhesha hapo juu?
Juzi tu Voda expo pale Kijito nyama walikuwa wanauza Curve 9320 kwa tsh 160,000.
unatufunga kamba live kijana!!
Sema wapi wanauza kwa hizo bei ulizoorodhesha hapo juu?
Juzi tu Voda expo pale Kijito nyama walikuwa wanauza Curve 9320 kwa tsh 160,000.