fikiria unakaa kimara, unaamka kila siku saa kumi na moja ili uwahi foleni kufika posta, unafika ofisini unafany akazi hadi saa kumi, kurudi home foleni hadi saa kumi na mbili au saa moja ndo unafika home....ukifika home uoge, usalimie na kucheza kidogo na watoto, unakuta imeshakuwa saa nne,unaenda kumpa mkeo haki ya ndoa, mnazungushana na kudunguana hadi saa tano au sita usiku, ...hapohapo hajapiga pasi anaogopa kumpa housegirl nguo zako asijekuzoea,..hapo wewe unajiandaa kesho saa kumi na moja asubuhi uwe macho...aisee dunia unaiona chunguchungu kabisa....je, hilo ni zoezi la kutosha, na je, kukosa usingizi, kuchoka na stress za kazi kama hizi ....mwanaume akishindwa kudooo alaumiwe...? yaani hapo utakuta wanaume wengi wa dsm wana shida hii sana.....tujengeeni barabara nzuri foleni ipungue ili tuhudumie ndoa zetu jamaniiiiiiiiiii