Huyu naye dingidingi mwingine katupa link ya kutoka email yake ya gmail, picha haionekani. Siku nyingine ukikutana na ma sCRipTKiddIeZ wanaweza kukupora email addy yako hivi hivi.
Unaweza kuisave picha kwenye desktop yako, halafu ukai upload hapa ndiyo tutaweza kuiona, lakini sasa hivi kama unaiona basi unaiona mwenyewe.