mnh mie nilijua mtatubrekia jinsi ya kuficha IP....invisible na Paw wasitupe ban?????????......jamani tuwekeeni in simple terms jinsi ya kuficha au kubadili IP incase tukilimwa ban......
mnh mie nilijua mtatubrekia jinsi ya kuficha IP....invisible na Paw wasitupe ban?????????......jamani tuwekeeni in simple terms jinsi ya kuficha au kubadili IP incase tukilimwa ban......
Kubadili IP hakuwezi kukulinda na ban, kwasababau unalogin na username ile ile so ban inapigwa username sio IP.
Pia kubadili IP hakuwezi kufanya usurf bure maana hauwezi kumficha ISP wako IP address maana yeye ndio anakupa IP na anakuruhusu kwenye network, unayemficha IP yako ni ile website unayotembelea, so kama unataka utumie service kama HULU au Netflix ambao wanazuia IP zisizo za US basi kubadili IP inaweza kukusaidia, otherwise ni useless exercise.
Inadepend na aina ya ban utayopewa, mfano unahost sehemu flan uka abuse wakakupa ban hata utengeneze user nyengine still ban ipo pale pale maana ip yako washa iblacklist. Kuchange ip itasaidia lakini kama ni ban hii ya username haitasaidia.
Na ip inaweza kufanya usurf bure kama hio ip imetengenezwa na port za design fulani
Tumia vpn yoyote i will recomend security kiss au tumia proxy yoyote mfano sneakme.net hapo utakua umeficha.
www.hidemyass.com
So mkuu kumbe kama wameinyaka ip yangu .., nikipigwa ban hata nkitengeneza username nyngn hapo ntakua nacheza tu?
Yah wakipiga ban ya ip umeisha mi nlipigwa ban na x10hosting nkiingia hata sjaenda signup wanantel tumekuban
chief-mkwawa ,Nadhani , Jestina alikuwa anamaanisha ban za invisible wa JF , ambazo hawablock ip address so hauhitaji haya yoteTumia vpn yoyote i will recomend security kiss au tumia proxy yoyote mfano sneakme.net hapo utakua umeficha.