SEPARATION is a WOUND that no one can HEAL!
loh! aya kakaNyie watu mbona mnachukulia mapenzi siriaz saana?!!! Mtakufa siku si zenu. Ukiona anakuzengua, scroll down kwenye simu yako, stop kwa jina la yule aliyekuwa anakutaka, piga, anseni kujirusha, maisha yanaendelea. Simple. Mnatuamini sana wanaume e? na tutawatenda hadi mchakae...
Wapenzi wa MMU asbh ya leo hebu tujifunze jambo dogo lakin la muhimu kweli juu ya mahusiano yetu kwa mba ni jinsi gani twaweza kupona kutoka katika mahusiano yaliyovunjika. mimi nianze kwa kutoa mbinu chache wengine mtamalizia:-
1) usikimbilie kabisa kuanzisha mahusiano mapya jipe muda uwez kusoma upepo.
2) jitengenezee marafiki wa kawaida ambao ni wa sex tofauti ili wakupe company tu hasa ya outing ili kukutoa upweke
3) hakikisha marafiki unaoweza kutengeneza ni wale ambao wako kama wewe yaani siyo couples zitakazo kuumiza moyo
4) hakikisha kama unataka kuanzisha mahusiano u pick from the group na ndio sababu ya kusema uwe na marafiki wa kampany tu.
nawasilisha. karibuni kwa mchango wenu
kweli kabisa....ulosema dear..kuna mahusiano mengine ni rahisi kuachana nayo..lakini pengine inakuwa ngumu kweli kweli kutokana na nature ya mahusiano yenyewe ..ngoja nilale kwanzagfsonwin are you talking from experience au ni theory tu?
If my record is right, ur hubby is the 1st man in ur life; nisahihishe tafadhari.
We heal differently, some people needs another man/woman to heal; some needs time n space some don't heal kabisa. Pia inategemea na how deep were u in love, commitment au investiments ulizoweka kwenye huo uhusiano.
Hakuna formulae kama ilivyo kwenye vitu vingi vya maisha!
kweli kabisa....ulosema dear..kuna mahusiano mengine ni rahisi kuachana nayo..lakini pengine inakuwa ngumu kweli kweli kutokana na nature ya mahusiano yenyewe ..ngoja nilale kwanza
Wapenzi wa MMU asbh ya leo hebu tujifunze jambo dogo lakin la muhimu kweli juu ya mahusiano yetu kwa mba ni jinsi gani twaweza kupona kutoka katika mahusiano yaliyovunjika. mimi nianze kwa kutoa mbinu chache wengine mtamalizia:-
1) usikimbilie kabisa kuanzisha mahusiano mapya jipe muda uwez kusoma upepo.
2) jitengenezee marafiki wa kawaida ambao ni wa sex tofauti ili wakupe company tu hasa ya outing ili kukutoa upweke
3) hakikisha marafiki unaoweza kutengeneza ni wale ambao wako kama wewe yaani siyo couples zitakazo kuumiza moyo
4) hakikisha kama unataka kuanzisha mahusiano u pick from the group na ndio sababu ya kusema uwe na marafiki wa kampany tu.
nawasilisha. karibuni kwa mchango wenu
Kaunga labda niseme hivi sina experience ya relationshiip iliyovunjika but nina experience ya kuona watu waliopitia hali hii na wengi wao ambao nimekutana nao this is what they didi.gfsonwin are you talking from experience au ni theory tu?
If my record is right, ur hubby is the 1st man in ur life; nisahihishe tafadhari.
We heal differently, some people needs another man/woman to heal; some needs time n space some don't heal kabisa. Pia inategemea na how deep were u in love, commitment au investiments ulizoweka kwenye huo uhusiano.
Hakuna formulae kama ilivyo kwenye vitu vingi vya maisha!
For simple analysis majeruhi wa mapenzi ni wengi kuliko majeruhi wa ajali zote zilizotokea from 1995 up to date!
(source mimi)