How to have her Attention???

How to have her Attention???

McDeedanny

Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
56
Reaction score
7
Ndugu zangu nilikuwa shida na nikiamini kbs kwamba nyinyi ndugu zangu mnauwezo wakunisaidi,Naam jamni mm nilitokea kumpenda sana msichana flani amby nimeshindwa kumwelewa hadi sasa kwani niliweza kumwambia kile nilichokuwa nakihisi ktk moyo wng na aliniambia kuwa nimechelewa ila skukata tamaa jmn toka mwezi wa kwanza pale nambembeleza tuu na nilikuwa nafanya hvy kwasababu niliona kama so kwamba alikuwa hanitaki bali alikuwa haniamini ndo maana skukata tamaa sasa mapema mwezi huu ameniambia hapende kuniona naumia na amesema kuwa ananipende ila hanipendee kama anavyo mpendee hyo aliyeniwahi yani wote anatupenda kimapenzi ila yle wa kwanza ndo anampenda zaid, sasa juzi baada yakuniambia hvy kuwa apende kuniona naumia amenikubali kwakusema anatupima nani anampenda zaid amby hata cheza na hisia zake,hvy basi sasa tupo kwenye vpimo na ninafanya kila niwezalo aone kuwa nikweli nampenda, ila naona kama hya yte ninayo yafanya hayatoshee kwani smwelewe amekuwa na mapozi sana Je nifanye nn ndugu zangu Ile nipate attention yake kwangu kwann jmn nikweli nampenda sana sana jmn. Nawakilisha wakuu,,,

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mbebe mgongoni umpeleke kanisani/msikitini ukamhakikishie mbele ya padre/sheikh ndio atakuamini na kukuchagua wewe. Usisahau kuwa familiar na m-pesa/tigo pesa yake.
 
Wewe unafanyaje ili ajue unampenda?
Kweli uanaume kazi, yaani unakubali kabisa kuwekwa kwenye mizani na mwanaume mwenzako?

aaaaah, my ego is just too big to accept such a bu***t condition
 
Ha ha ha ha raha utamu.....
kwa jinsi unavolia lia huyo humpati ACT LIKE A MAN!!!
 
ha ha ha ha jamani mpo kwenye mizani, haya subiri vipimo mwaego.
 
Sijawahi kuogopa kuomba hela, sijawahi kuona aibu kuomba hela wala kujihisi najidhalilisha kuomba hela....
kazi nafanya, mshahara napata ila lazma nizichange
shida hazina kikomo....tena naomba jicho kavuuu hata sipepesi macho.
 
Sasa ndugu wat should I doo nampenda sana nifanye nn. Kweli ningekuwa na uwezo wakumpotezia ningeshafanya hvy sku nyng sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sasa nifanye nn. Ndo maana yakuleta ombi lngu kwenu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mhh hongera kwa MAHABA NIUE...Duuh ukistaajabu ya MAHABA NIUE utayaona ya MAHABA NIZIKE
 
May be nimekuelew vibaya..dat lady amekuonea huruma and it means dat hata akikukubalia then akatokea a gentle mwingine hatopenda kumuumiza vile vile and mtawekwa tena m2 kati.
 
Sasa nifanye nn. Ndo maana yakuleta ombi lngu kwenu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

STAY AWAY FROM HER,japo kwa muda,or be unavailable,kata kupiga piga simu na text and whatever u wea doing,in short get busy wit ur life,and other girls probably,she wl wonder n question herself,and eventually atarudi...
Inshort...CHANGE UR GAME,BE THE BAD BOY,STOP KISSING HER A.SS cz kw style hyo ulonayo saivi hutompata,hata me sipendi mwanaume anaenifatilia hadi kero...
 
Sasa ndugu wat should I doo nampenda sana nifanye nn. Kweli ningekuwa na uwezo wakumpotezia ningeshafanya hvy sku nyng sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Kwanini ulazimishe mapenzi? hapo wajitafutie maumivu ya baadae. maana ushaoneshwa hupendwi bado unang'ang'ania, utajimbembeleza hadi umuoe atafanya atakavyo kwenye ndoa
 
Hapo ni kumpa "pole baby" hata kama kajamba ili kwako mizani iwe heavier than...he he he
 
Back
Top Bottom