How to handle stress

How to handle stress

Tumia Matcha, ni unga wa green tea. ukitumia unasaidia sana kufanya akili i relax

Pia kufanya mazoezi husaidia kupunguza stress maana unauchosha mwili na kufanya mawazo yahame.

Vyakula vinavyosaidia kuondoa stress ni kuku, ice cream na chocolate.
Pia unyumba husaidia kuondoa stress
 
Kipi cha kufanya... Jaribu kua na dharau, hutakaa uwe na stress... badala yake utawapa watu stress...
Hii nimeipenda sana, japo utekelezaji wake siyo rahisi kama wew siyo wa hivyo. Niliwahi kuwa na stress kama MB 400 hivi, nikasema wacha nipige gambe mpaka stesss zote ziishe. Pombe ilipoisha kichwani nilijikuta nina stress 1 GB na MB 100 sawa na MB 1124. Gambe siyo suluhisho
 
Dharau ni suluhisho pekee la kutokua au kupatwa na stress kabisa...

Kila jambo unanichukulia poa na kirahisirahisi...

Angalizo: utasababishia wengine stress...
 
Tumia Matcha, ni unga wa green tea. ukitumia unasaidia sana kufanya akili i relax

Pia kufanya mazoezi husaidia kupunguza stress maana unauchosha mwili na kufanya mawazo yahame.

Vyakula vinavyosaidia kuondoa stress ni kuku, ice cream na chocolate.
Pia unyumba husaidia kuondoa stress
Matcha unapatikana wapi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hii nimeipenda sana, japo utekelezaji wake siyo rahisi kama wew siyo wa hivyo. Niliwahi kuwa na stress kama MB 400 hivi, nikasema wacha nipige gambe mpaka stesss zote ziishe. Pombe ilipoisha kichwani nilijikuta nina stress 1 GB na MB 100 sawa na MB 1124. Gambe siyo suluhisho
N kweli mkuu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu workshop , pole sana kwa changamoto zozote unazopitia katika maisha. Ni kweli kwamba binadamu tuna vipindi tofauti vya maisha, kuna wakati wa raha na wakati wa shida.

Shida inayozungumziwa hapa sio uchumi na pesa peke yake. Kuna shida nyingi, kuachana na mpenzi wako, kupoteza mtu wa karibu kwa kifo, kuumia, maradhi, usaliti, dhulma na kadhalika.

Hivyo basi, binadamu pia tumepewa uwezo tofauti tofauti wa kuhandle stress zetu. Kwa ujumla, unatakiwa ukubaliane na hali na uache natural healing process itokee. Natamani sana ningejua the actual source of the pain or stress you are going through ili nikakupa maelezo yaliyo specific na hali unayopitia.

Mkuu kumbuka, hata usiku uwe mrefu vipi, patakucha tu. Hizo stress hazikai na wewe milele, zitaondoka tu na utakua mwenye furaha tena. Jiepushe na kufanya makosa zaidi kama kuvuta ganja, au pombe na vitu vya namna hiyo. You should be emotionally intelligent to handle all the negative energies throwing to your life.

Be okay man. You are so special, and you can do it.
 
Asante sana mkuu wangu,,,nmebarikiwa sana kusoma andiko lako siku ya leo,,,

Back
Top Bottom