How to hack online android games?

Acha kuumiza kichwa cha kufanya tafuta hii app inaitwa (appvn) haipo playstore wala apple store i search kwenye google.com kisha idownload na uinstall utakuta inatumia lugha y kijapana kama aijakosea nenda kwenye setting ya hiyo app kisha change lungha ukishamaliza......Fungua playstore kisha search hilo game lako ambalo linahitaji kulipia...ukishalifungua scrow down mpaka mahala pa kushare hiyo app kisha share kwenye hiyo app niliyoitaja hapo mwazo i mean appvn kisha utaweza kulidownload for freee.........NB:Njia hii sio halali ila unaweza kufanya kama hauna pesa
 
Kaka inafanya kazi kweli?
 
Mkuu somo lako zuri ila lipo nje ya mtoa mada.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umetumia kilevi gani kwa leo maana upo nje ya maada kumbe kuhack ndo kupakua non play store [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umetumia kilevi gani kwa leo maana upo nje ya maada kumbe kuhack ndo kupakua non play store [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Its grey hat hacking..sawasawa na kama kupakua vitu torrents..jamaa yupo right...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…