How to go from Girlfriend to Wife

How to go from Girlfriend to Wife

Malaika AD

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
496
Reaction score
316
My singles, lets hear what these married folks have to say kwa kweli. Maana wengi wangetamani kuendeleza girfriend/boyfriend to wife/husband, lakini wengi mambo huenda ndivyo sivyo. Kuna watu unawaona wanaendana hadi raha lakini inakuwa hola! Nini kiweje? kuna formula au hakuna? Nini kinamuweka mtu 6 solid years kwenye u girlfriend/boyfriend then anakuja ingia mjengoni mtu mpya hata 6 months hajamaliza.

Yani unashuhudia mdada kaachwa solemba kwenye mataa na kipete chake kidoleni, mwingine ashafua sana majeans na kudeki kwa mkaka, amepika amepakua, mwingine kajibebesha mimba kamzalia jamaa lakini waapi! ila wanaume nyie nyie God is watching. Hivi kwani kama unamipango yako mingine why umkeep mtu kwa matumaini muda mrefu? Au wadada wengine ving'ang'anizi? Na wale wengine wasotea miaka sita ndo wanaingia huko lol!

Mnacheleweshwa na nini kwani jamani? Hayaaaa mje mshushe experience zenu na mawaidha hapa ili watu wasiimbe sana ule wimbo wa teeeenda miujiza Bwana teeendaa muuujiiizaaa usiache Mungu mwaka huu upiteee bila kuteeenda Muujizaa, it may help! Hamuwezi jua walioko kwenye hilo janga labda wakajikwamua.

Karibuni
 
Ndoa sio suala rahisi kama udhaniavyo, inahitajika kujipanga...kwa hiyo ukiona watu wanakwepakwepa ujue Hawajajipanga
 
Mara nyingi uchumba wa muda mrefu haufikiagi ndoa, miezi tu inatosha,hata hivo kudeki,kufua no kwenye uchumba hakufai
 
Mm kuna mmoja nmeshamuudumia mpaka sasa inanbd nijiweke pembeni kwa kuwa wanawake akili zao wanazjua wnyw unataka mwanaume unaitaka familia yako sasa kaa na baba yako akuoe kama inawezekana tucpotezeane muda
 
Umesema God is watching, na kwa kuwa wewe ni Malaika, sitabisha. A question tho; for how long will he be watching? and...should we be concerned?
 
Kuna wanawake kwa ajili ya kupotezea muda tu ambao hawafai kuolewa kabisa na kuna wanawake ambao wanafaa kuolewa. Sasa ukiona umekaa miaka 6 ukaachwa ujue hufai kuwa mke kabisa sema tu bahati mbaya umeumbwa mwanamke
 
Kuna mmoja anasema hata miaka 10 yupo tayari kunisubiri ili nimuoe. Namuonea  huruma she's too kind, nawaza vp ikitokea nisipomuoa🙁
 
Mwanaume nae anapenda, kama ambavyo mwanamke anapoteza nguvu na muda, vivo hivyo kwa mwanaume.
Hakuna anaependa kuoa mwanamke asiye na faida, ila nina imani kama amemwacha wa miaka sita kwaajili ya wa miezi sita, kaona mengi ya msingi.
Na kawaida ya wanaume wengi, akikupenda akaona hauna direction, hakuachi. Anakutumia kwanza mpaka atakaporidhika, atakuacha.
Na wanawake wengi hawajajua siri, wanaume wengi hawatafuti mke, wanatafuta "mama watoto"!
Think about it.

#wisdom_is_the_light
 
Back
Top Bottom