Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
kwani lazima utumie njia hiyo download window 8 activator kama hiyo inakusumbua
Khaah, mkuu mbona watu tunaistall win 8 kila siku na kuactivate kwa izi izi activators bila matatizo?? tena permanently
sio kweli mkuu mimi yangu mbona permanent toka nimewek MPK LEO SIJAWAHI KUSUMBULIWA MWEZI WA 5 SASA HUU UNAKATIKAmkuu pirated,noma,,,,kuna wa2 wanatakaga niwawekee hii os lkn huwa nakataa coz najua after180days kitanuka,,afu naonekana mchoyo
hiyo activator sio permanent
unaweza pata mkuu hakuna kinachoshindikana chini ya jua.mi nahisi njunwa wamavoko yuko sahihi.maana tangu hizi activators zianze kupatikana bado hazijapita 180 days,so inakuwa vigumu kuconclude kuwa unapata permanent activation.halafu pia sina hakika kama unaweza kuingia kwenye ms store kwa hizi pirated editions.
sio kweli mkuu mimi yangu mbona permanent toka nimewek MPK LEO SIJAWAHI KUSUMBULIWA MWEZI WA 5 SASA HUU UNAKATIKA
hahahah mkuu nimekusoma ila hata ikifikia mwezi wa 7 am sure bado nitakuwa napetanadhani miezi 5 < 180 days au?