Kama una passport ya Tanzania na Visa ya Schengen utagongewa entry Visa ya Turkey pale Instanbul kama ndio point of entry. Nilifanya hivyo miaka kadhaa ya nyuma. Kujiridhisha, nenda kwenye ubalozi wao hapa Tanzania utapata maelezo ya ziada.

Pamoja na hayo sharti la nyongeza ni kuwa lazima uwe unaingia Turkey kwa ndege ya Turkish Airlines. Vinginevyo ikiwa ndege tofuati unakua hujatimiza masharti.