Habar ya saiz wana jukwaa
nna tatizo kwenye pc yangu kila nnapoconect internet kwa kutumia modem inaanza ku-blink display amin inazima na kuwaka display but haidisconect internet b4 ilikuwa nikiconnect internet inasleep kwa ss haisleep ina blink pliz hili ni tatizo ama ni settings tu? computer yangu ni dell vostro 1540