Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,087
- 34,884
Tatizo lako Kiingereza hujuwi ndio maana unasema what is this? Soma hayo maelezo kisha ndio utaweza kupata kujuwa kilichoelezwa hapo juu ni nini? unafikiri tu kusema what is this? ndio kujuwa kiingereza? umesoma shule mpaka darasa la ngapi wewe?What is this! Jamani hii copy paste hii...hata irrelevant materials hakuna filter
mpotezee mimi mbona nimeelewa sana tuTatizo lako Kiingereza hujuwi ndio maana unasema what is this? Soma hayo maelezo kisha ndio utaweza kupata kujuwa kilichoelezwa hapo juu ni nini? unafikiri tu kusema what is this? ndio kujuwa kiingereza? umesoma shule mpaka darasa la ngapi wewe?
Unajuwa watu wengine humu wanajifanya wao kila kitu wanajuwa wakti hawajuwi kitu chochote basi kuuliza sio ujinga. Na hata kama utasema hujuwi ndio bora watu wapate kukufundisha sio kusema ovyo tu, wakati wewe mwenyewe hujuwi kitu.mpotezee mimi mbona nimeelewa sana tu
Nimemsamehe labda kashakunywa Bia huyu.Fanya kumsamehe sometimes kaonaona exp ni nyingi then zikamboa.