Hiyo system password kama ndio ninayoifaham ni ngum sana kuitoa. Itategemea ni pc aina gani, ila kwa laptop kuna pin lazima uzishort kwebye motherboard very trick maana ukikosea unaua motherboard/computer. Cha msingi google model ya hiyo computer kujua hizo pin. Cmos betri haitoi hiyo password.