kuna program inaitwa OCR inakuja na scanner karibia zote, tafuta ndani ya cd iliyokuja nayo ya driver. Lakini yenyewe inafanya kazi wakati uki-scan documents inapeleka moja kwa moja kwenye ms word ingawa wkt mwingine kama kuna text na image kwa pamoja itabidi ku-arrange vizuri. Otherwise scan kupitia pdf format na utafute pdf editor software kama adobe professional na sio adobe reader
una mana hiyo scanned dcument ni ya Text? May be jaribu ku soma hapa yahoo aswers
Niliwai kufanya hii itu lakini nimesahu. Lakini kama una original document abla ya scanning nadhani unaweza uitumia na ukairescan na kufanya editnt kama maelekezo aliyotoa ja wa wachangji hapo.
Otheriwise nenda zero brain ( joke) maana wanaochakachua vitu kama bank statement na vyeti wana utaalam mkubw wa hayo mambo
Unaweza kuedit hata picha uliyoscan sembuse doc za kawaida tu? Kwa kawaida kitu chochote ukishakisevu unaweza kukiedit kama ni picha unaweza tumia photoshop au kama ni doc ya maandishi unawezatumia microsoft word au excel