kiboko ya yeto ni FLASHGOT best kwenye mozila firefox tuu, search kwny google click download then unaistall kama broweser icon...itakwambia restart firefox then itakuw tayar..
Nenda youtube au tube yeyote ile ambayo ukipata video inacheza, ikecheza tuu unataona hiyo icon ya flashgot ina blink mwanzon mwa adress bar ya browerz yako na uki iclick tuu itakwambiaa unataka ku serve wap ..ni simple na fast..kw dak 10 na download nyimbo kama 15 za zaid ya mb 50.