Hii option haiwezi kufanya kazi, kwa sababu moja. Facebook wana record kila IP ya kila user anapologin. So ukisend hizo claims kuwa kuna hacker kwenye account yako, FB System Admis watachek IP zinazologin kwenye account yako na kuona kuwa hamna IP mpya inayologin so watagundua kuwa hii ni trick tu ya mtu kugain access.
Je, mtoa mada umeshajaribu hii njia na kuona inafanya kazi?