Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
Roho mbaya sasa hii.
Duh!! yani first thing baada ya kusoma hapa nimehide email yangu ya facebook and my date of birth so as to be safe. And thanks a lot for the knowledge, I realy needed this
Sasa hii sredi inatusaidia nini JF?
nina rafiki yangu alifariki nikafikiria nifanyeje kuifuta fb account yake.jaribu kutoa njia halali ya kudelete hiyo acc.
kama ukiona haikusaidii ujue haikuhusu.
FB sio wapumbavu kiasi hiko, hawawezi kufuta account ya mtu kwa sababu unadai ndo wewe.
Iawezekana jamaa kachukua desa lililofanya kazi mwaka 2000 analileta mwaka 2012
fb sio wapumbavu kiasi hiko, hawawezi kufuta account ya mtu kwa sababu unadai ndo wewe.
Inawezekana through hacking. Total hacking.