Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
Arsenal wakichukua kombe nagawa vocha zenye thaman ya million 5 kwa member wa JF jokes
jana imeua 6 (sita) kavu toa 1. Ndio timu pekee imeruhusu mabao machache ligi kuu..mawili tu.. I love u arsenal ur the love of my heart.