ruphem2003
Member
- May 14, 2011
- 18
- 0
Habari zenu wanajamii forum,nahitaji msaada wenu ili nijue ni jinsi gani ntaweza kupata full access ya internet kwani hivi karibuni nimebaniwa access kwa kuwekewa Hotspot,yani nikitaka ku browse internet lazima niingize password na username ndo nianze ku surf,toka hiyo program imewekwa nashindwa kudownload vitu kama muvi na miziki kwa kupitia bittorrent,download speed haizidi 1 kb/s,ni shida kwa kweli,sasa je kuna njia mnayoweza nisaidia yakuweza kudownload torrent zangu kwa speed nliyoizoea,kwani nimepitia sehemu nyingi nikapata ushauri wa mambo kama Hotspot shield,OpenSSH,Socks kwakweli nimeshindwa kuelewa kwani viko technical sana....