How to ByPass a Hotspot Connection

ruphem2003

Member
May 14, 2011
18
0
Habari zenu wanajamii forum,nahitaji msaada wenu ili nijue ni jinsi gani ntaweza kupata full access ya internet kwani hivi karibuni nimebaniwa access kwa kuwekewa Hotspot,yani nikitaka ku browse internet lazima niingize password na username ndo nianze ku surf,toka hiyo program imewekwa nashindwa kudownload vitu kama muvi na miziki kwa kupitia bittorrent,download speed haizidi 1 kb/s,ni shida kwa kweli,sasa je kuna njia mnayoweza nisaidia yakuweza kudownload torrent zangu kwa speed nliyoizoea,kwani nimepitia sehemu nyingi nikapata ushauri wa mambo kama Hotspot shield,OpenSSH,Socks kwakweli nimeshindwa kuelewa kwani viko technical sana....
 
Unamaanisha haupati spidi nzuri pamoja na kuwa na username na password halali?
Kama ni hivyo basi provider wako anabana Bittorrent traffic maana sometime zinaua connection kwa watumiaji wengine.

Ushauri wa kwanza ni kuhama provider, support providers ambao hawabani chochote.

Ushauri wa pili ni kuwasha encryption katika Bittorrent client yako, kwa mfano uTorrent nenda kwenye settings ->Bittorrent kisha enable Protocol Encryption hii inaifanya Bittorent kuwa ngumu zaidi kuwa detected na provider.
 
Ni internet ya ofisi kaka,sasa imebanwa kiasi kwamba download speed haivuki 1kb/s,nimejaribu ushauri wako wa pili nao umekwama,kuna haya maswala ya SSH,SOCKS,SIJUI UTAKUWA UNAYAJUA?
 
yaani watu mnawaza magumashi tupu...sasa namna hii rais akiwa magumashi mnalalamika..wewe kwa nini ubypass...lipia ndo uweze ku download vitu kwenye SIPIYU na sikirini ya BULUU
 
Kama ni ya ofisini achana nayo, kibarua kitaota nyasi. Network admins wanaweza kuona matumizi yako ya net hata ukitumia proxy bado wataona kuwa unakula data nyingi sana.

Na anyway proxy unless unailipia inakuwa slow sana so haitakusaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom