mi nina wasi wasi na hawa official iphone unlock kwasababu zifuatazo. Kununua Carrier Unlock wanaruhusu kulipia kupitia PayPal ambayo ni safe na inampa insurance mlipaji. Lakini kuBypass iCloud Activation Lock wanataka ulipie direct kwa Credit Card/Debit Card. Hii italeta shida kupata pesa zako kama wasipofanya Unlock..niliwatumia email kuwauliza kwanini wasi Associate malipo ya hii huduma na PayPal wakasema wanafanya hivyo directly ili kurahisisha payment na pia kuhakikisha wanapata pesa yao moja kwa moja. Labda mkuu dkashombo2013 utusaidie kutuonyesha ile confirmation email ya kuonyesha kuwa wameshatoa iCloud Lock..

Mkuu kama unaweza kuwasiliana na dkashombo2013 akusaidie kuitoa maana inavyonekana yeye aliweza kutoa iCloud Lock,,ikiwezekana tafadhali tuletee feedback humu kwasababu tupo wengi wenye shida kama yako,,ndiyo naijua
mi nina wasi wasi na hawa official iphone unlock kwasababu zifuatazo. Kununua Carrier Unlock wanaruhusu kulipia kupitia PayPal ambayo ni safe na inampa insurance mlipaji. Lakini kuBypass iCloud Activation Lock wanataka ulipie direct kwa Credit Card/Debit Card. Hii italeta shida kupata pesa zako kama wasipofanya Unlock..niliwatumia email kuwauliza kwanini wasi Associate malipo ya hii huduma na PayPal wakasema wanafanya hivyo directly ili kurahisisha payment na pia kuhakikisha wanapata pesa yao moja kwa moja. Labda mkuu dkashombo2013 utusaidie kutuonyesha ile confirmation email ya kuonyesha kuwa wameshatoa iCloud Lock..
Hapo sasa nimekupata mkuu, tusubiri mpaka hiyo J5 tupate feedback, ukifanikiwa utakuwa umetusaidia sana na sisi wengine,,Hii ya kwangu bado hawajatoa nilipewa 5-10 working days ambazo zinaisha j5 next week, kuhusu malipo sio kwamba unawalipa direct kuna kampuni inayosimamia malipo inaitwa dalpay ya uk hii ni km paypal ni nzuri tu usipopata huduma hawa ndo watakurefund pesa yako sijui nimeeleweka
Hapo sasa nimekupata mkuu, tusubiri mpaka hiyo J5 tupate feedback, ukifanikiwa utakuwa umetusaidia sana na sisi wengine,,
Mkuu nahisi kama umepigwa hiviHiyo ndo order status yangu
Mkuu nahisi kama umepigwa hivi
Ninazo kama iphone 6 hivi za watu zinahitaji hii kitu, pamoja na kugoogle sana inaonekana kama scammer ndio wengi kuliko halisia wanaoweza kuitoa
Binafsi naamini bado suluhu haijapatikana hao jamaa watakuletea sound tu
Lets wait and see
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu kwa mujibu wa utafiti wangu google asilimia kubwa ya wanaolalamika kuibiwa na hawa scammer huanza kwa kuambiwa simu yako imerepotiwa imeibiwa na imekua black listed so ongeza helaNilikuwa sijawapa feedback nimeletewa email kuwa my iphone is blacklisted so it needs another way of unlocking and i have to add amount of around 10£ na nimeplace order for that hela yangu walinipa option 2 kutoa another imei to be unlocked au kuadd kwa hii iliiwe unlocked order yangu tiyari accepted i have to wait for 5-15 working days, so let's wait and see
Hiyo ndo order status yangu
Sasa mkuu kama ulilipia hiyo huduma alhamisi ya tarehe 7 na ukaambiwa inafanyiwa processing ndani ya 10 business days huoni kwamba leo ndio siku ya kumi? Hapo umeshalizwa mkuu, angalia vizuri Order Status yako na Delivery Time kwa chini. Mimi huwa naUnlock sana online na kwa hawa official nilishafahamu toka zamani kuwa ni Scammers. Pole sana
Hii ya kwangu bado hawajatoa nilipewa 5-10 working days ambazo zinaisha j5 next week, kuhusu malipo sio kwamba unawalipa direct kuna kampuni inayosimamia malipo inaitwa dalpay ya uk hii ni km paypal ni nzuri tu usipopata huduma hawa ndo watakurefund pesa yako sijui nimeeleweka
Ok hamna shida nitaleta tu feedback
Mkuu kesho J5 ndio siku uliyotuahidi kutupa confirmation ya kuondoa iCloud Lock. Utatujulisha kitakachotokea ili kama utafanikiwa na sisi wengine tufanye malipo tuUnlock iPhone zetu...Nilikuwa sijawapa feedback nimeletewa email kuwa my iphone is blacklisted so it needs another way of unlocking and i have to add amount of around 10£ na nimeplace order for that hela yangu walinipa option 2 kutoa another imei to be unlocked au kuadd kwa hii iliiwe unlocked order yangu tiyari accepted i have to wait for 5-15 working days, so let's wait and see
Wadau nina iphone 4s, carrier locked, nimelipia kuangalia ipo locked na carrier yupi na kupata majibu haya:
Network Code Status:
MODEL: IPHONE 4S 64GB WHITE
IMEI: 0**********0 (nimefuta imei hapa)
SERIAL: C******T*V
FIND MY iPHONE: OFF
HW WARRANTY: Out of Warranty (0 days)
PHONE SUPPORT: No phone support (0 days)
PURCHASE DATE: 2011-11-18
PRODUCT SOLD BY: SOFTBANK MOBILE CORP
INITIAL CARRIER: JAPAN SOFTBANK
PURCHASE COUNTRY: JAPAN
Sasa nataka ku-unlock, kwa aliyewahi fanya factory unlock ni wapi nitapata legitimate unlock service(online) maana online scammers kibao, msaada kwa anayejua tafadhali.
Mkuu kesho J5 ndio siku uliyotuahidi kutupa confirmation ya kuondoa iCloud Lock. Utatujulisha kitakachotokea ili kama utafanikiwa na sisi wengine tufanye malipo tuUnlock iPhone zetu...