Chaz Lee JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 590 Reaction score 495 Jan 1, 2019 #1 Wakuu Mambo vp? Kwanza kabisa heri ya mwaka mpya!! Kabla ya kwenda kula bata naomba tuelekezane hapa namna ya kufanya apps zote ziwe katika dark mode, naamini kuna wataalamu hapa wa kutosha. Dark mode inasave battery life vile vile haiumizi macho sana, kwa sisi wenye matatizo ya macho.. Thanks in advance Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Mambo vp? Kwanza kabisa heri ya mwaka mpya!! Kabla ya kwenda kula bata naomba tuelekezane hapa namna ya kufanya apps zote ziwe katika dark mode, naamini kuna wataalamu hapa wa kutosha. Dark mode inasave battery life vile vile haiumizi macho sana, kwa sisi wenye matatizo ya macho.. Thanks in advance Sent using Jamii Forums mobile app
Ochumeraa JF-Expert Member Joined May 18, 2015 Posts 4,507 Reaction score 5,742 Jan 1, 2019 #2 Kuna baadhi ya Simu hiyo option inakuwepo kwenye Simu nyingine ni mpaka udownload
Chaz Lee JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 590 Reaction score 495 Jan 1, 2019 Thread starter #3 Nipe app mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,599 Reaction score 2,248 Jan 1, 2019 #4 Unatumia simu gani tukusaidie mkuu
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,933 Jan 1, 2019 #5 Mimi natumia tecno k7 Lukas4 said: Unatumia simu gani tukusaidie mkuu Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natumia tecno k7 Lukas4 said: Unatumia simu gani tukusaidie mkuu Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,599 Reaction score 2,248 Jan 1, 2019 #6 Hatua ya kwanza uta scroll down App notification bar, kisha utafuata hzo hatua
Chaz Lee JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 590 Reaction score 495 Jan 1, 2019 Thread starter #7 Lukas4 said: Unatumia simu gani tukusaidie mkuu Click to expand... Tecno L9 plus Sent using Jamii Forums mobile app
Lukas4 said: Unatumia simu gani tukusaidie mkuu Click to expand... Tecno L9 plus Sent using Jamii Forums mobile app
Smokey D JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 2,632 Reaction score 2,115 Jan 3, 2019 #8 Natumia Eye Care [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app
Chaz Lee JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 590 Reaction score 495 Jan 3, 2019 Thread starter #9 Smokey D said: Natumia Eye Care [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Inapatikana wp hyo au unamaanisha glasses? Sent using Jamii Forums mobile app
Smokey D said: Natumia Eye Care [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Inapatikana wp hyo au unamaanisha glasses? Sent using Jamii Forums mobile app
Smokey D JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 2,632 Reaction score 2,115 Jan 3, 2019 #10 Chaz Lee said: Inapatikana wp hyo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Infinix Android 8.1 Sent using Jamii Forums mobile app
Chaz Lee said: Inapatikana wp hyo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Infinix Android 8.1 Sent using Jamii Forums mobile app
Chaz Lee JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 590 Reaction score 495 Jan 3, 2019 Thread starter #11 Smokey D said: Infinix Android 8.1 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ok Sent using Jamii Forums mobile app
Smokey D said: Infinix Android 8.1 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ok Sent using Jamii Forums mobile app
Chaz Lee JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 590 Reaction score 495 Jan 3, 2019 Thread starter #12 Kweli Tecno za kifala... Sent using Jamii Forums mobile app