How the terrorists fell

vulcan

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,742
2,459
Dusit: The last hour of Recce Unit action : The Standard

1547802426994.png
 
Tanzanians let be clear on one thing, you hav never been in this situation, this is not theoretical work ,shukuruni mungu al shabaab hawana kazi yenu si ati your security is the best

Sent using Jamii Forums mobile app
mti wenye matunda ndio hupurwa mawe bro.
kule kwengine hamna hamna la kuwafanya terrorists kwenda ku-cause havoc
 
Tanzanians let be clear on one thing, you hav never been in this situation, this is not theoretical work ,shukuruni mungu al shabaab hawana kazi yenu si ati your security is the best

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwezi sema gaidi hana kazi na sisi,kwani kuwa na kazi na kenya sio sifa.

Wanaweza amua kuja kufanya huo upuuzi wao lakini nikukumbushe haijawahi kuwa kazi rahisi kutekeleza,wangeshafanya muda mrefu kwa vigezo vyao wanavyovitaja.

Tz ndio nchi inayoongoza kwa omba omba na waokota makopo,wanakuja kuomba mpaka kenya si ajabu wameenda mbali zaidi wanaomba mpaka somaria,kaeni mkiwarekodi na kuja kuwasema hapa jf tu.‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️
 
kwani ni siri???

Na kweli nyinyi ni matumda maana huyo kichaa anadai wanaume wake wamewang'ata na kuwararua wakenya 40 sababu trump ametambua jerusalem kama mji mkuu wa israel!!

Sasa nyinyi ni waisrael au wamarekani????,nyinyi ni matunda tu.
 
Al-shabab wametoa hiyo sababu kuwa wameshambulia coz trump kaitambua jerusalem ili kuwapa SIFA wakenya waseme wanaondoa majeshi yao somalia maana wameshinda vita

apo sasa kenya wataonekana wamendoka somalia kishujaa na sio kuwaogopa hao magaidi

wamelahisishiwa njia kama aliyotumia US kuondoka syria baada ya kuona uturuki,iran na siria wako on fire

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kweli nyinyi ni matumda maana huyo kichaa anadai wanaume wake wamewang'ata na kuwararua wakenya 40 sababu trump ametambua jerusalem kama mji mkuu wa israel!!

Sasa nyinyi ni waisrael au wamarekani????,nyinyi ni matunda tu.
hakuna kitu cha kulipua hapo dar slum. usijifanye kujitoa ufahamu. ukweli utabakia kuwa ukweli
 
Halafu wanaanza kulia lia oh hakuna mtanzania aliyetupa pole sijui nini, wapuuzi sana hawa nyang'au.

Tukananeni tu kwa mitandao, wakati kiuhalisia wakenya na watanzania wanaoana, kufanya kazi kwa pamoja ktk mengi, tunafanya biashara kwa upendo. Ila nyie wachache msiokuwa na kufanya na jirani yako awe mtanzania au mkenya ndio mnaringishiana upupu tu kwa mitandao.

Uringe na Komandoo au ghorofa jijini nairobi au Dar ujue kuna mwanaume kajipinda kwa kufanya kazi hata hiyo ghorofa ikasimama. SASA nyie kizazi cha Dot.com kaeni nyuma ya keyboard mkieneza chuki.

Wallah tutaendelea kusifia wanaume na wanawake wenzetu.

Dunia ni kijiji kwa sasa ndio maana mkenya anafanya kazi Tanzania na mtanzania anafanya yake Kenya
 
Back
Top Bottom