Nimeona katika M-pesa kuna namna ya kudeposit pesa katika bank tofauti(CRDB/ACB na AMANA) na kupata electronic deposit slip..kwa nchi hii ambayo maadili yamemomonyoka na uhalifu wa kimt andao unavyokuwa bila hatua sambaba za kuukabili itakuwa na usalama kweli kwa mteja? Na ukizingatia sms sio kitu kinachotunzika sana chukulia mtu anaetumia kitochi ataweza kuhifadhi msg ngapi kama proof?
ni njia nzuri na rahisi lakini........
Kama ni hivyo basi ni hatari na itakuwa janga kuliko DECI na ubaya wake DECI hii waliopanda MBEGU ni wakulima wadogowadogo wenye kipato duni...mpesa ni upatu mkuu!siku vodacom inakufa ghafla kama gtv sijui pesa zetu nani atatulipa maana BOT hawausiki
mpesa ni upatu mkuu!siku vodacom inakufa ghafla kama gtv sijui pesa zetu nani atatulipa maana BOT hawausiki
mpesa ni upatu mkuu!siku vodacom inakufa ghafla kama gtv sijui pesa zetu nani atatulipa maana BOT hawausiki
Nimeona katika M-pesa kuna namna ya kudeposit pesa katika bank tofauti(CRDB/ACB na AMANA) na kupata electronic deposit slip..kwa nchi hii ambayo maadili yamemomonyoka na uhalifu wa kimt andao unavyokuwa bila hatua sambaba za kuukabili itakuwa na usalama kweli kwa mteja? Na ukizingatia sms sio kitu kinachotunzika sana chukulia mtu anaetumia kitochi ataweza kuhifadhi msg ngapi kama proof?
ni njia nzuri na rahisi lakini........
mpesa ni upatu mkuu!siku vodacom inakufa ghafla kama gtv sijui pesa zetu nani atatulipa maana BOT hawausiki
umenishtua mkuu. Watu tunatumia sana hii hudumu..bora tutumie zaidi kusafirisha kuliko kutunzia pesa.
Ndugu yangu fuatilia swali lilivyoulizwaUsiwe na wasiwasi mkuu. Kwenye mchango wangu uliopita nimesema kuna utafiti nilishwahi kuufanya kuhusu hii product. Unaweza kuniuliza maswali kadhaa nikakujibu kwa kadiri nitakavyoweza. Kifupi ni kwamba huduma za pesa zimewasaidia watu wengi sana kiuchumi na kijamii.
Unaposema Voda inakufa/ikifa una maana gani? Kufilisika?mnaopinga sio UPATU hembu niambie nina 1m ktk akaunti yangu,voda imekufa nani atanilipa?
Ndugu yangu fuatilia swali lilivyoulizwa
How safe is M-pesa bank depositing
Nimeona katika M-pesa kuna namna ya kudeposit pesa katika bank tofauti(CRDB/ACB na AMANA) na kupata electronic deposit slip..
Jibu rahisi ni si salama kudeposit mamilioni katika simu, iwe Vodacom, Airtel, tiGo, Zantel kwanini mtu usiende kufungua a/c yako Benk?
Hivi vikampunu vya simu vina shughuli nyingi sana, mara music wa kulipia 'Caller tune' bahati nasibu, nk halafu wewe ukaweke fedha huko
Nakupa mfano mmoja ingia mtandao wa Airtel kwa sasa kuna Bahati nasibu na unakatwa 350/ kwa kujibu swali lolote, nilijaribu kujiunga ni bure nikaletewa swali Shaban Robert ni
1 Mtunzi wa mashairi
2 mwimbaji wa Taarabu
sikulijibu swali hilo ingawa yalikuja maswali mengine, km Shaban Robert ametokea 1. Tanga, 2.Mwanza
Baada ya nusu saa kupita Mm nikajibu ile msg lya ile swali Shaban Robert ni ? ambalo jibu lilikuwa ni ( Namba 1) mtunzi wa Mshairi jibu likaja HAPANA UMEKOSEA kwa hiyo ina maana Shaban Robert ni mwimba Taarabu
Hapo nikaliwa 350 nikajaribu tena swali lingine hadi nikagundua swali la jana usilijibu leo
Sasa Inkoskaz usithubutu kuweka fedha kiasi cha kuzidi Milioni moja utalia hapo ni pa kusafirishia fedha tu maana hakuna cha Mwanasheria, au maandishi uliyowekeana nao Mikataba tafadhali nenda Benk ndiko salama
Hivi ni Mara ngapi tunasikia wajanja wamekwapua Mamilioni ya mtandao wa M-Pesa? jibu utaambiwa mara Saver ipo India, mara ofisi za Tanzania zitafungwa Makao makuu yatakuwa nje ya Nchi sasa umepoteza 5m nani atakulipa? watu wamepoteza hela za kununulia magari Japan kwa ajili ya E-Money sembuse hivi vi...