How Russian military might is eroding the Western alliance


No one will win a nuclear war, get that into your heads people. Kama ni kuchangamsha baraza ili watu wasisinzie sawa lakini nuclear war is a non starter, both US and Russia knows that.
 
No one will win a nuclear war, get that into your heads people. Kama ni kuchangamsha baraza ili watu wasisinzie sawa lakini nuclear war is a non starter, both US and Russia knows that.

Mkuu ni kweli Nuclear war haina mashindi, na madhara yake na ni vizazi na vizazi, na siku ikipiganwa tambua kwamba Dunia itakuwa ndo imefikia mwisho na watu wawszanie baada ya vita ya kinuclear kutakuwa na maisha tena, na Nuclear za sasa si kama zile zilizo dondoshwa Japani,
 


Hao wote wanaijua vyema Urusi mkuu, Makombora ya Urusi sio ya mchezo na kibaya zaidi ni Nuclear, na ili Dunia iwe salama vita itakayo pigwana isitumie nuclear, kwa sababu kutumia nuclear kuna manisha mwisho wa kila kitu, usitarajie Nuclear zidondoshwe USA halafu baada ya hapao maisha yanendelee, eneo zitakopo tua ndo mwisho wa hilo eneo kutumika kwa shughuri za kibinadamu, we sikia tu nuclear
 

Mkuu kama thamani ya pesa ingekuwa ndio military power then wazee wa ngamia wanaotumia dinari wangekuwa Super power.
 

Let the undermined russia by US sanctions take a military revange against NATO and US if russia is capable of..

The war is not only weapons superiority bt there are other factors for winning the war..
 
Have you ever heard of Spartacus of ancient Rome,Well I think his revolutionary spirit is still very well living in Russia.No way the DOGS can take a BEAR

Was he a Russian?
 
Well said Mkuu.Si umeona hadi Obama kaomba approval congress wamuongezee Millitary Budget.Hali ni mbaya sana!!

Don't be naive my friend. The problem with the US is that they are paranoid, especially conservatives and there are people who benefit from US military build ups (read my post #20 ), what they do is manipulation through lobbying and other means to indicate that US capabilities are under threat from these other nations but the truth is that China and Russia hasn't reached the US capabilities yet. I will give you few examples;

1. US has 10 aircraft carriers, Russia and China has 1 each.
2. US has 13,683 fighter jets, Russia has 1,203 and China has 2,788
3. US has 62 Naval destroyers, Russia has 13 and China 24

Source: www.globalfirepower.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…