murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
And he is very good @ it. Just take what he spews here with a pinch of saltAnachokifanya ni upotoshaji wa historia ya kweli
And he is very good @ it. Just take what he spews here with a pinch of saltAnachokifanya ni upotoshaji wa historia ya kweli
halafu ikumbukwe kwamba hii habari iliwahi kupita wimawima lakini FDLR hajalidhika akaona wacha ajaribu tena... jMali anaonekana chizi! yani anafikiri wanawake wetu tumeanza leo kuwatia mbele... tokea Kagitumba tuko nao bega kwa bega and guess what, they are making us PROUD! WE LOVE EM SOOOO MUCH!And he is very good @ it. Just take what he spews here with a pinch of salt
1. Nilikwenda kwa sababu za kikazi inatosha uelewe hivo. Mwaka 1991, 1992, 1993 na mwaka 1994 July nilikuja huko na nilitembelea maeneo mengi.
2. Nimeiita vita ile ''Liberation war'' kwa sababu kwanza wenyewe waliita hivo na kwa mtazamo wangu ilistahili kuitwa hivo.
3. Mimi sio Mnyarwanda ni siwatetei RPA lakini nilijionea mwenyewe kwa nyakati tofauti, maeneo tofauti na katika vikosi tofauti kwa kweli walikua na discipline ya hali ya juu. Kwa taarifa yako ndugu in RPA kunywa pombe na kulewa pekeake ilikua ni kosa kubwa.
NB: niliwatembelea pia jeshi la serikali ya habyarimana na wakati wa kambanda pia niliona mengi Mungu apishe mbali but RPA was the best.
1. Anybody can be anything on the internet, so i won't argue with you ukweli wa wewe kuwapo au kutokuwapo frontline za RPA during the entire period of 1991-1994 guerilla war. Kichekesho ni kwamba neno "liberation war" limeanza kutumika majuzi tu miaka ya 2000 na sio wakati huo wa 90's. Neno hili pamoja na catchphrases nyingine kama "genocide against tutsis" etc, zinaenezwa na hizi PR companies ambazo zinalipwa na Rwanda kwa ajili ya image cleaning, sasa wewe ulilisikia wapi enzi hizo? Never mind possibility ya any neutral person kukubaliana na concept ya "liberation", especially kama mtu huyo suppossedly alishuhudia what happened! But like i said, you are entitled to your opinion.
2. Regardless of what you saw, mwandishi wa makala hii ni former soldier wa RPA ambaye jina lake lipo hapo, she actually served! Na ametoa experience zake akitaja tarehe, vituo vya kazi, majina ya wahusika etc. Mfano anasema first week january 1993, Kagame alitembelea kambi yao na YEYE MWANDISHI alisimama na kutoa maelezo! All this was in public! Wewe unadai ulikuwepo je hukumuona huyo dada? Maana hata kagame mwenyewe aliahidi kuyashughulikia hayo matatizo IN PUBLIC,...matatizo ambayo wewe unadai hayakuwapo? How come?
Yeye ameweka wazi kuwa alikuwa na cheo cha welfare officer hapo kambini mwaka 1992, je wewe uliyekuwa "unapitapita" unakataa kuwa hakukuwa na officer Jeanne Umulisa (Lt)? Hii article imejaa facts za kutosha na si rahisi kui dismiss kwa kudai kirahisi rahisi tu kuwa "nilikuwapo lakini sikuyaona hayo".
With due respect may i know in 1990 where and how old was you?1. Anybody can be anything on the internet, so i won't argue with you ukweli wa wewe kuwapo au kutokuwapo frontline za RPA during the entire period of 1991-1994 guerilla war. Kichekesho ni kwamba neno "liberation war" limeanza kutumika majuzi tu miaka ya 2000 na sio wakati huo wa 90's. Neno hili pamoja na catchphrases nyingine kama "genocide against tutsis" etc, zinaenezwa na hizi PR companies ambazo zinalipwa na Rwanda kwa ajili ya image cleaning, sasa wewe ulilisikia wapi enzi hizo? Never mind possibility ya any neutral person kukubaliana na concept ya "liberation", especially kama mtu huyo suppossedly alishuhudia what happened! But like i said, you are entitled to your opinion.
2. Regardless of what you saw, mwandishi wa makala hii ni former soldier wa RPA ambaye jina lake lipo hapo, she actually served! Na ametoa experience zake akitaja tarehe, vituo vya kazi, majina ya wahusika etc. Mfano anasema first week january 1993, Kagame alitembelea kambi yao na YEYE MWANDISHI alisimama na kutoa maelezo! All this was in public! Wewe unadai ulikuwepo je hukumuona huyo dada? Maana hata kagame mwenyewe aliahidi kuyashughulikia hayo matatizo IN PUBLIC,...matatizo ambayo wewe unadai hayakuwapo? How come?
Yeye ameweka wazi kuwa alikuwa na cheo cha welfare officer hapo kambini mwaka 1992, je wewe uliyekuwa "unapitapita" unakataa kuwa hakukuwa na officer Jeanne Umulisa (Lt)? Hii article imejaa facts za kutosha na si rahisi kui dismiss kwa kudai kirahisi rahisi tu kuwa "nilikuwapo lakini sikuyaona hayo".
wala sijaelewa gusemura icyongereza please
Ngoja nikusaidie...kwa kauli yake mwenyewe..."kwanza miaka ya 90 mimi nilikuwa mdogo" there u goWith due respect may i know in 1990 where and how old was you?
Tofautisha ripoti na makala. Hii ni makala, haijaandikwa na inyenyeri news, jina la muandishi liko hapo na vyeo vyake na timeline zote. Huwezi kufafanisha na habari zenu zisizo na majina ya waandishi kutoka New times! Hata hivyo unakaribishwa kupinga any fact huyo dada aliyoandika (joking, najua huwezi)😀😛Unanichekeshaga na "facts" zako za kutoka kwenye Inyenyeri News...hivi hilo blog linatambulika popote kama credible source of news? kweli umeishiwa.
I guess, he just wanted to know if you are a Genocide perpetrator or just a victim of your own parents IDEOLOGY! just sayingvery young, with all due respect what are hoping to achieve with this information?
I guess, he just wanted to know if you are a Genocide perpetrator or just a victim of your own parents IDEOLOGY! just saying
A genocidaire is not how you look,it is what is with in you..Yes you can tell a genocidaire online.Wow, you actually can tell a genocidaire online? You must be a genius😀
Asante mkuu. Ndio maana huwa namuita dimwit. Leo atajifanya msomi kesho anaandika something that makes one wonder hiyo degree aliipatajepataje.A genocidaire is not how you look,it is what is with in you..Yes you can tell a genocidaire online.
Genocidal is an ideology..
jMali ulikuwa umetulia sasa tunaingia mwezi wakukumbuka Genocide naona umerudi tena,any way we are used to that.Nimeona hats story za 2013 zimeanza kuwa reposted.
Endeleza campaign zako, sisi tunaenda kumpokea Magufuli
1. Ni bora uzungumze kiswahili tu ili tuelewane vizuri. Najitahidi kuelewa sentensi yako lakini nashindwa. Genocidal ni adjective, wakati ideology ni noun. Kwa kawaida adjective inatakiwa ielezee noun sio kinyume chake....Ila nadhani unachojaribu kusema ni kuwa mawazo yanamfanya mtu awe genocidaire sio?A genocidaire is not how you look,it is what is with in you..Yes you can tell a genocidaire online.
Genocidal is an ideology..
jMali ulikuwa umetulia sasa tunaingia mwezi wakukumbuka Genocide naona umerudi tena,any way we are used to that.Nimeona hata story za 2013 zimeanza kuwa reposted.
Endeleza campaign zako, sisi tunaenda kumpokea Magufuli
Maskini umebaki kukosoa maandishi ya watu. You damn well know what exactly he is drilling in your head. Tulia upewe zako1. Ni bora uzungumze kiswahili tu ili tuelewane vizuri. Najitahidi kuelewa sentensi yako lakini nashindwa. Genocidal ni adjective, wakati ideology ni noun. Kwa kawaida adjective inatakiwa ielezee noun sio kinyume chake....Ila nadhani unachojaribu kusema ni kuwa mawazo yanamfanya mtu awe genocidaire sio?
2. Kampeni ipi hiyo ninayopiga mkuu?