kama unataka kuanzish ISP ya kuwaprovide ISP wengine na unamtaji wa kutosha na umeshafanya analysis ya kutosha ya ab ya wateja na cashflow na Quality kwako ni muhimu basi provider mzuri wa kukupa backbone ni SEACOM. Hawa ni jamaa amabao wanatandaza mkonga(fiber optic). Nadhani hata maakampuni ya simu za mkononi ambayo kwetu sisi watejan wa majumbani ni ISP BAckbone ya Internet zao ni zao hao jamaa, hata TTCL nao wanadaka kutoka kwako .
Am I wrong ????. Lakini nadhani decison hii naweza kuathiriwa na factor nyngine kama location nk . Tatizo hapa inaweza kuwa wao pia wanauza kuanzia Bandwidth fulani.Wich must be be huge kwa mtu anayenza.
Otherwisise Provdier wengine wa BAkbone ni wale wanatumia Satelite kama simbanet, Softech etc . Africaonline. Tembela tovuti zoa watumie email wakupe mchanganuo ndio unaweza jua upi unakufaa kwa mazingira yako
Bei ya SEACOM 2009
An STM-1 155Mbps IRU from SEACOM costs $4,350,000.
Hii ni kwa miaka 20, sijui kama wanauza kwa kipindi kifupi zaidi.
5% down-payment as a deposit
35% of the cost paid in Year 1
30% in Year 2
30% in Year 3
Thereafter, you have paid for your IRU and are only liable for the annual maintenance cost of 4% of the original price.
Hapo bado kuna gharama za connection kutoka cable hadi kwenye mitambo yako, pia sina uhakika kama cable inakuja na Internet au inabidi umlipe "ISP" kuko cable inakotua (London nadhani).
So kama hauna mtaji wa size hiyo itabidi upitie middle men ambao watakuuzia slice ndogo zaidi.
Ahsante sana mkuuKwa kukuongeza tembelea hapa tovuti ya TCRA uone kampuni zenye licence za hiyo kitu na contact zao.
Ahsante mkubwa, nilitaka general idea tu, sikuwa na kila kitu, nashukuru sana!Mkuu kuaccess internet backbone sio rahisi ila kuna tier 2 ISP TATA SEACOM ila hii itatokana na how much umeinvest,pengine ungetuambia vp kwa sababu itategemea na aina ya connection mfano,kutumia satellite or fibre,microwave