How many will say AMEN to this?

Amen.......!!!!!!!? Hapana hapana hapana hapana hapanaaaaaa...........................!
 
Mkuu unafahamu jina la.huu wimbo!?nimeusaka kwelikweli
 
Mkuu Mshana huu wimbo nani aliuimba (mtu/band) na jina lake unaitwaje? Nimeusaka sana miaka kadhaa huko nyuma hadi leo sijafanikiwa kuupata. Naupenda sana unanikumbushaga enzi hzo za The Jolly Club when starehe was starehe!
 
Mkuu ulifanikiwa kuupata huu wimbo!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…