Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
Huwezi kujua kama anakupenda. Shukuru Mungu yuko busy, msaada hapo ni wewe pia kuwa busy.
Kama wako ni wako tu, na kama si wako hata asipokuwa busy na kutimiza miadi, bado si wako atapeperuka anytime 't'.
susyakufukuzaye hakuambii toka!! Sasa unangoja nini???????
Kama mwana dada fungasha virago vyako utizame mbele kwa kujiamini, nyuma kwa tahadhari na ulipo kwa matumaini ya kupata mwingine.
1.kazi kwanza,mapenzi baadae ebo???nitajuaje kama ananipenda?mpenzi wangu kila leo yu busy hata iwe kipindi cha holiday ukimpigia simu atakupa sababu mara ntakuchek mida,mara nipo kwenye kikao,mara nipo busy mara nyingi huwa naelewa lakini amezidi kwani anaweza kukuahidi atakuchek mida na asifanye kama alivyo ahidi,je huyu mtu ni mkweli au?naomba msaada wenu jamani....
thanx
Nitajuaje kama ananipenda?mpenzi wangu kila leo yu busy hata iwe kipindi cha holiday ukimpigia simu atakupa sababu mara ntakuchek mida,mara nipo kwenye kikao,mara nipo busy mara nyingi huwa naelewa lakini amezidi kwani anaweza kukuahidi atakuchek mida na asifanye kama alivyo ahidi,je huyu mtu ni mkweli au?naomba msaada wenu jamani....
THANX
akufukuzaye hakuambii toka!! sasa unangoja nini???????
kama mwana dada fungasha virago vyako utizame mbele kwa kujiamini, nyuma kwa tahadhari na ulipo kwa matumaini ya kupata mwingine.
Nitajuaje kama ananipenda?mpenzi wangu kila leo yu busy hata iwe kipindi cha holiday ukimpigia simu atakupa sababu mara ntakuchek mida,mara nipo kwenye kikao,mara nipo busy mara nyingi huwa naelewa lakini amezidi kwani anaweza kukuahidi atakuchek mida na asifanye kama alivyo ahidi,je huyu mtu ni mkweli au?naomba msaada wenu jamani....
THANX
1.kazi kwanza,mapenzi baadae ebo???
2.kukupata kama wewe na kupata kazi ipi rahisi????
3.acha wivu tulia mkuu.mambo mazuri hayataki haraka.hao ni slow moving,wanapenda taratibuuuuu,akikolea mwenyewe utashangaa.
Yupo busy toka mwanzo wa mahusiano au amechange ghafla???
Mchunguze kama kweli ana mambo yanayomweka busy.....
Ila mi nionavyo huo ni mwanzo wa kupigwa chini taratibuuuuu......
chukua muda na mchunguze taratibu, huenda keshapata mwingine anayemkeep busy. Angalia maisha yako kwa sasa na ujiandae kwa lolote. Mimi yalinikuta hayo hayo mwanzo anakuwa na muda kila siku baada ya kazi lakini ghafla akawa anasingizia yuko busy kila siku. Nilichunguza na kukuta kapata mtu mwingine.....nikachapa lapa!
Hapo huna chako. Tunasubiri post yako ya kutafuta mchumba.
aroo we mkurya?
Huwezi kujua kama anakupenda. Shukuru Mungu yuko busy, msaada hapo ni wewe pia kuwa busy.
Kama wako ni wako tu, na kama si wako hata asipokuwa busy na kutimiza miadi, bado si wako atapeperuka anytime 't'.
Yuko busy kweli we hutaki?
tatizo kuna watu hawapendi kukubali ukweli, inawezekana kuna kila dalili kama huyo jamaa kamchoka mdada lakin mdada anajifanya haoni kama kachokwa analazimisha....
ukitaka kuhakikisha, mchunie wiki hata mbili bila sim wala nn af msikilizie....usishangae na yeye asikutafte wala nn....:A S 465:
mpige chini kabla hajakumwaga hadharani.
Safi,....tunaenda sawaAaaa.....ni kutaka kuelewa zaid.
Nway poa
tatizo kuna watu hawapendi kukubali ukweli, inawezekana kuna kila dalili kama huyo jamaa kamchoka mdada lakin mdada anajifanya haoni kama kachokwa analazimisha....
ukitaka kuhakikisha, mchunie wiki hata mbili bila sim wala nn af msikilizie....usishangae na yeye asikutafte wala nn....:A S 465:
mpige chini kabla hajakumwaga hadharani.
Safi,....tunaenda sawa