engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Balozi mpya wa Rwanda alikabidhi hati zake kwa Bernard Membe ambaye alikuwa amevalia shati nyeupi alafu nje, yaani barazani wizarani. Hii ilikuwa ni tofauti na utamaduni wa kidplomasia, ambapo balozi huwasilisha kwa mkuu wa nchi na kukagua gwaride...This is because JK hakutaka kusikia chochote kutoka kwa Kagame, the arrogant guy of Kigali. Nasikia they dont see eye to eye because Kagame aliwahi kusema eti akipewa Tanzania na raslimari zake ataifanya kuwa first world country! Arrogance!Na jamaa hawa hawataki kabisa kuonana tena, na mkutano wa kujadili maombi ya sudani kusini kuingia EAC bila shaka mmoja atamtuma waziri mkuu wake na mwingine makamu wa raisi
Msidanganywe na cosmetic changes, Rwanda ni kama ki mkoa kimoja cha Tanzania na bado wana matatizo kibao pamoja na udikteta na umaskini uliokithiri.

You can hate Kagame..but at least he have achieved somewhere.....hii nchi sio Kagame tu ...hata ukinipa Mimi....nitaifanya kuwa nchi iliyoendwelea ...tatizo mmeshajiapiza kuwa kuna watu wengine hii nchi hamtakaa muwape..........sasa ili kuchochea maendeleo na kutunza utaifa wetu .....tuweke serikali za majimbo......ili watu wafanye kazi za kuleta maendeleo ....wanaotaka kwenda taratibu...na kucheza ngoma ....wacha waendelee tu.......
Majimbo Nane yanatosha nchi hii....serikali hizi zipo kila mahali na hazijavunja utaifa zaidi zimekimbiza maendeleo ...zipo China,Russia,India,Pakistan ,south Africa ....etc...la muhimu ni kuwa hakuna jimbo hata moja litaundwa kikabilan....ie
Mashariki( pwani ,dar es salaam na morogoro)
Jimbo la Kati (Dodoma,iringa na singida,sehemu ya manyara)
Jimbo la nyanda za juu( mbeya,Njombe,katavi)
Jimbo la mangaribi ( Rukwa ,kigoma,tabora)
Jimbo la ziwa ( Kagera,mwanza,Mara)
Jimbo la kaskazini(tanga ,Kilimanjaro ,Arusha ...sehemu ya manyara)
Jimbo la kusini (Lindi,mtwara na ruvuma)
Jimbo la visiwani ( defacto Kama muungano utasema serikali tatu hii tutaita ...serikali ya Zanzibar ...litakuwa eneo lenye mamlaka yote ...ukiondoa ulinzi..au usalama wa ndani na nje...tofauti na maeneo mengine amabayo yatakuwa tu maeneo ya utawala wa kimaendeleo ....na watendaji wake wataendelea kuwa vetted na central government ...ili kuimarisha utaifa)
Serikali za majimbo zitawajibika zaidi kwa wananchi serikali kuu itaendelea kutoa muelekeo wa sera ....na kusimamia mambo...,na kusaidia majimbo.
Hapa ulitegemea nini? Mzalendo na mhujumu uchumi kamwe hawawezi kuelewana.
mawazo ya kijima!Msidanganywe na cosmetic changes, Rwanda ni kama ki mkoa kimoja cha Tanzania na bado wana matatizo kibao pamoja na udikteta na umaskini uliokithiri.
Msidanganywe na cosmetic changes, Rwanda ni kama ki mkoa kimoja cha Tanzania na bado wana matatizo kibao pamoja na udikteta na umaskini uliokithiri.
Ribosome, are you for real or some sort of sarcasm au ....?? Hujui kuwa "wakati mwingine kuna comparative advantage ya eneo kuwa kubwa? Huoni kwamba kwa ukubwa wake Tanzania ina faida kubwa sana (geographical advantage) zaidi ya Rwanda? Na hili humuhitaji Professor wa uchumi kukufafanulia....Weka mezani Rwanda, eneo lake na rasilimali zake then weka nchi yako pia meza hiyo hiyo kisha chukua eneo lake na rasilimali zake then utaelewa.....labda uamue kutokuelewa
Balozi mpya wa Rwanda alikabidhi hati zake kwa Bernard Membe ambaye alikuwa amevalia shati nyeupi alafu nje, yaani barazani wizarani. Hii ilikuwa ni tofauti na utamaduni wa kidplomasia, ambapo balozi huwasilisha kwa mkuu wa nchi na kukagua gwaride...This is because JK hakutaka kusikia chochote kutoka kwa Kagame, the arrogant guy of Kigali. Nasikia they dont see eye to eye because Kagame aliwahi kusema eti akipewa Tanzania na raslimari zake ataifanya kuwa first world country! Arrogance!Na jamaa hawa hawataki kabisa kuonana tena, na mkutano wa kujadili maombi ya sudani kusini kuingia EAC bila shaka mmoja atamtuma waziri mkuu wake na mwingine makamu wa raisi
Brother nafikiri unaendeleza ile reputation ya kuonyesha hadharani ujinga na umbumbumbu wako katika matukio lakini pia katika masuala ya kidiplomasia. Nafikiri umechanganya wizara ya mambo ya nje na nje ya ofisi. Na nafikiri unachanganya kuona watu wanaagana nje ya ofisi na kukabidhi credentials. Unajaribu kushonashona migogoro hata pale isipokuwepo.
1. Rais Kikwete hana bifu na Kagame na hicho unachoita wewe bad blood ni creation yako ambayo kimsingi imechochewa na chuki zako;
2. Imesemwa wapi kwamba foreign minister lazima avae suit wakati wa kupokea credentials. Vipi kama angevaa chuenlai? Kwa bahati mbaya hujui hata thamani ya hilo shati na wewe kwa akili yako ndogo unadhani lile ni shati la Kariakoo!
3. Mbona hata Kagame mwenyewe attire yake kubwa ni mashati meupe ya casual hata kwenye formal gatherings? Shida iko wapi?
Wakati mwingine uwe na huruma na resources ambazo ni wino, umeme na airtime!