Balozi mpya wa Rwanda alikabidhi hati zake kwa Bernard Membe ambaye alikuwa amevalia shati nyeupi alafu nje, yaani barazani wizarani. Hii ilikuwa ni tofauti na utamaduni wa kidplomasia, ambapo balozi huwasilisha kwa mkuu wa nchi na kukagua gwaride...This is because JK hakutaka kusikia chochote kutoka kwa Kagame, the arrogant guy of Kigali. Nasikia they dont see eye to eye because Kagame aliwahi kusema eti akipewa Tanzania na raslimari zake ataifanya kuwa first world country! Arrogance!Na jamaa hawa hawataki kabisa kuonana tena, na mkutano wa kujadili maombi ya sudani kusini kuingia EAC bila shaka mmoja atamtuma waziri mkuu wake na mwingine makamu wa raisi
You can hate Kagame..but at least he have achieved somewhere.....hii nchi sio Kagame tu ...hata ukinipa Mimi....nitaifanya kuwa nchi iliyoendwelea ...tatizo mmeshajiapiza kuwa kuna watu wengine hii nchi hamtakaa muwape..........sasa ili kuchochea maendeleo na kutunza utaifa wetu .....tuweke serikali za majimbo......ili watu wafanye kazi za kuleta maendeleo ....wanaotaka kwenda taratibu...na kucheza ngoma ....wacha waendelee tu.......
Majimbo Nane yanatosha nchi hii....serikali hizi zipo kila mahali na hazijavunja utaifa zaidi zimekimbiza maendeleo ...zipo China,Russia,India,Pakistan ,south Africa ....etc...la muhimu ni kuwa hakuna jimbo hata moja litaundwa kikabilan....ie
Mashariki( pwani ,dar es salaam na morogoro)
Jimbo la Kati (Dodoma,iringa na singida,sehemu ya manyara)
Jimbo la nyanda za juu( mbeya,Njombe,katavi)
Jimbo la mangaribi ( Rukwa ,kigoma,tabora)
Jimbo la ziwa ( Kagera,mwanza,Mara)
Jimbo la kaskazini(tanga ,Kilimanjaro ,Arusha ...sehemu ya manyara)
Jimbo la kusini (Lindi,mtwara na ruvuma)
Jimbo la visiwani ( defacto Kama muungano utasema serikali tatu hii tutaita ...serikali ya Zanzibar ...litakuwa eneo lenye mamlaka yote ...ukiondoa ulinzi..au usalama wa ndani na nje...tofauti na maeneo mengine amabayo yatakuwa tu maeneo ya utawala wa kimaendeleo ....na watendaji wake wataendelea kuwa vetted na central government ...ili kuimarisha utaifa)
Serikali za majimbo zitawajibika zaidi kwa wananchi serikali kuu itaendelea kutoa muelekeo wa sera ....na kusimamia mambo...,na kusaidia majimbo.