dah bad day siku mbaya
Asubuhi nimegombana na mpenzi ,nimeenda kazini nimegika getting nikagombana na mlinzi , nimeanza kazi nikagombana na boss nikatoka nikaenda bar nikagombana na wahudumu ... Bado nikaamshiana popo na washkaji ...shiiit it feel so bad anyway naingoj kesho [emoji51][emoji51]